Kumekuwa na changes nyingi za hapa na pale kwenye Europa league tangu msimu wa 2009, kwa hiyo mshindi wa msimu uliopita hakupewa nafasi ya kucheza Champiom league moja kwa moja. Lakini mshindi wa Europa league msimu huu atakwenda kwenye group stage ya Champion league ya next season.
Sijafuatilia kuhusu Chelsie, lakini kuna tofauti ya washiriki wa kutoka Spain na England. Wa kutoka Spain wanatpkana na matokeo ya la liga wakati wale wa England, somehow FA Cup inahusika pia.
Anyway, hapa sina datas kamili.