Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #821
Duuh! Ila hao Almeria walitupiga kagoli kazuri sana
Getafe 0-Barca 0.real Madrid wanna uhakika wa kumaliza mwaka 2014 huku wakiongoza ligi
We hukuangalia game ya jana? Almería walikuwa wamekomaa mpaka nikamuona Ancelotti kasimama, walivyopoteza penalty ndio Real Madrid wakaona hii mechi si ya kuifanyia masihara. Hata hivyo tumshukuru Casillas alipocheza ile penalty, kama jamaa wangepata bao la pili labda ungekuwa mwingine.
E bana vipi mechi imesha?
Hapo wachezaji inabidi wawe makini inawezekana walikuwa wameidharau hyo timu ndo maana mwanzoni mechi ilikuwa ngumu kwa madrid. Alafu nimesoma mahali Kocha wa zamani wa Argentina akiitadharisha madrid kwamba wanapokwenda kwenye michuano ya kombe la Dunia kwa upande wa vilabu wasitegemee mteremko, inabidi wajipange na akatoa mfano wa Chelsea mwaka juzi alivyoshangazwa na Corinthians kutoka Brazil.
Ndio mkuu RM pts 39 Barca 35
Hivi ili suala la kutaka kumuuza Bale alafu wamlete Raheem Sterling mnalionaje? Mi naona wanapotea njia.