Mechi ya Copa del Rey ya Real Madrid against Cornellà itachezwa leo, venue ni Powers8 stadium, Barcelona. Mechi hii si ya kuibeza kwasababu always Real Madrid inapata upinzani mkubwa wa ndani na nje ya uwanja ikicheza kwenye miji ya Catalonia.
Mechi itaanza saa mbili usiku (200:00H) kwa saa za Western Europe. Kwa walio Afrika mashariki itakuwa ni saa nne usiku (22:00H).
Kwa wale ambao hawataweza kuona mechi kupitia TV zao, ninaahidi kuweka links hapa leo jioni ili muweze kuona mechi kupitia PC zenu.