Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! 2-0 dakika ya 18 bonge la goli
Hatari, midfield ya Atletico iko sawa.
Tumezidiwa kuanzia mbele hadi nyuma
Nawaona aisee wanateleza tu tena kwa speed kali sana, RMA wasipotulizana leo wanaweza kuadhirika vibaya sana.
Hii mechi Madrid kaelemewa sana
Jamaa wamebadilisha mchezo kabisa leo, sio ile game ya kusubiri mipira, leo hawaruhusu game kuchezwa upande wao kabisa.
Simeone anaijua Real vizuri
Mtu akipata mpira anaupaka kwanza mafuta hadi jamaa wanajipanga
Mbele hamna mpiga pasi za mwisho, James Rodriguez ameacha pengo kubwa sana pamoja na Modric
Will bounce back. ..
Halla Madrid..