Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Naendelea kusisitiza carlo kakosa mbinu kwa hawa jamaa...kiakil tumeathirika na hapo ndo msingi wa tatizo
 
Nawaona aisee wanateleza tu tena kwa speed kali sana, RMA wasipotulizana leo wanaweza kuadhirika vibaya sana.


Jamaa wamebadilisha mchezo kabisa leo, sio ile game ya kusubiri mipira, leo hawaruhusu game kuchezwa upande wao kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama umeangalia mechi zao na barca utaona barca wanatumia ule mfumo wetu vizr wa msimu jana,wanapiga counter attack za umakini wa hali ya juu,mpira ukija mbele haupotezwi hovyo,angalia sisi mpira unapotea sana mbele,tunacheza kila mtu na lake,hakuna umoja mbele,na hakuna kujiposition vzr...mtu anatoa pasi bora kuondoa lawama
 
603734_10153035609607389_2196725253580907791_n.jpg
 
Mbele hamna mpiga pasi za mwisho, James Rodriguez ameacha pengo kubwa sana pamoja na Modric
 
Simeone anaijua Real vizuri

Alisema angetumia mchezo wake wa kudifensi, kuja uwanjani kila kitu tofauti, anachezesha viungo na beki zote zimepanda, kwahiyo Ronaldo na Benzema mipira haiwafikii kabisa. Bila ya Hat Trick hakuna bao hapa, na upande wanaohamia sasa ni mikosi kwasababu wanasema Madrid kuna wind kali sana sasa.
 
Mbele hamna mpiga pasi za mwisho, James Rodriguez ameacha pengo kubwa sana pamoja na Modric

Real timu nzima hawaonani, wanacheza tu kama wamepagawa pale mbele wapige mashuti tu kuliko kutoa pasi za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom