Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #5,361
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshindi wa Barca na Bayern ndio atachukuwa taji- hizi timu zilitakiwa zikutane fainali
Tatizo ni vigumu sana yaani Suarez,Neymar na Messi - hii safu ya mbele ni danger sanaKazi ya kupiga ramli mwenzio shehe Yahaya alikuwa tajiri, we unafanya bure hapa.
Tatizo ni vigumu sana yaani Suarez,Neymar na Messi - hii safu ya mbele ni danger sana
Tatizo ni vigumu sana yaani Suarez,Neymar na Messi - hii safu ya mbele ni danger sana
Vigumu ndio nini? frame of reference? that circular thing,with equidistant to its center,can touch the millimeters of inside nets,and you're out.Tatizo ni vigumu sana yaani Suarez,Neymar na Messi - hii safu ya mbele ni danger sana
Wanaojua mpira,wanasema hii strike force haijawahi tokea katika historia ya football na on current form ukiondoa Bayern,Barca ana mpinzani. Bayern ni timu pekee duniani isiyotabirika. Madrid kwa bahati mbaya mwaka huu inajikongojaWalipigwa bao tatu Bernabeu na wote hao walikuwepo.
Wapenzi wa Madrid wanaomba Bale aendelee kuwa mgonjwa maana hawaoni tija yake katika timuVigumu ndio nini? frame of reference? that circular thing,with equidistant to its center,can touch the millimeters of inside nets,and you're out.
180 minutes will decide.
Majuzi Sevilla waliwakosakosa na hiyo team yenu ya milenia,Wanaojua mpira,wanasema hii strike force haijawahi tokea katika historia ya football na on current form ukiondoa Bayern,Barca ana mpinzani. Bayern ni timu pekee duniani isiyotabirika. Madrid kwa bahati mbaya mwaka huu inajikongoja
Wanaojua mpira,wanasema hii strike force haijawahi tokea katika historia ya football na on current form ukiondoa Bayern,Barca ana mpinzani. Bayern ni timu pekee duniani isiyotabirika. Madrid kwa bahati mbaya mwaka huu inajikongoja
Relax brother, acha waseme wanachotaka. Sometimes hizi mambo unapotezea, watu wanapunguza machungu ya timu zao kwa kutufanya tuwajali.You're not serious, are you? Real Madrid inajikongoja? They have 2 points difference with la liga leader na sasa wanacheza UCL semi-final, kujikongoja gani huko? Au bahati mbaya ipi unaongea?...By the way hao unaowaita wewe wananaojua mpira are just Real Madrid haters kama wewe. Yeyote atakeyeshinda mechi yenu tuonane Berlin mwezi june.
Relax brother, acha waseme wanachotaka. Sometimes hizi mambo unapotezea, watu wanapunguza machungu ya timu zao kwa kutufanya tuwajali.
Pep Guardiola leo kasema"Barca are the best team at the moment"Uzuri wa Barca hawatoki jasho,baada ya mechi huvaa suti na kuondoka bila kuoga sababu hakuna haja. Ukitoka jasho unapigwa fine na coach-Suarez keshapigwa fine mara 3,ameambiwa mpira ni starehe,a relax sio kutoka jashoYou're not serious, are you? Real Madrid inajikongoja? They have 2 points difference with la liga leader na sasa wanacheza UCL semi-final, kujikongoja gani huko? Au bahati mbaya ipi unaongea?...By the way hao unaowaita wewe wananaojua mpira are just Real Madrid haters kama wewe. Yeyote atakeyeshinda mechi yenu tuonane Berlin mwezi june.
Pep Guardiola leo kasema"Barca are the best team at the moment"Uzuri wa Barca hawatoki jasho,baada ya mechi huvaa suti na kuondoka bila kuoga sababu hakuna haja. Ukitoka jasho unapigwa fine na coach-Suarez keshapigwa fine mara 3,ameambiwa mpira ni starehe,a relax sio kutoka jasho
Walipigwa bao tatu Bernabeu na wote hao walikuwepo.
Wanaojua mpira,wanasema hii strike force haijawahi tokea katika historia ya football na on current form ukiondoa Bayern,Barca hana mpinzani. Bayern ni timu pekee duniani isiyotabirika. Madrid kwa bahati mbaya mwaka huu inajikongoja