Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Actually tulianza ovyo, pre-season yenyewe hatukushinda game hata moja. Tulikutana na kina United, Inter pamoja na Roma wakatuburuza pamoja na draw, tukaingia kwenye ligi, game ya 3 nadhani tukakutana na La Real wakatupa 4 - 2, tena tulianza kufunga hizo goli 2 na full kugonga posts.I hope lesson learned, we started the season confortably lakini tumeshindwa kuendelea kushinda kwasababu hakuna wachezaji wa kuchukua nafasi za majeruhi. Next season rotation ni muhimu sana, na hii haiwezi kufanyika kama tukiwa na bench la magalasa vile. Tunahitaji kumarisha timu kuanzia chini mpaka juu.
Baada ya hapo ni kama tuka-settle, na bahati nzuri tulikuwa tunakutana na wapinzani wa kawaida tukapiga m'pira sana, barca wenyewe waliomba game iishe SB. Mpaka hater wetu m'kuu Cruyff alitukubali kipindi hicho.
Baada ya CWC tukaenda kupiga hela Dubai vs Milan, tukapigwa 4, tukasema ni friendly tu. Toni akaanza kulalamika ametumika kupita maelezo, Carlo anajifanya hasikii. Hapo ndio tulipoteza balance na rhythm.
Tukakutana na Valencia 2015 wakamaliza A22 yetu, na toka hapo hatukucheza m'pira wowote zaidi ya El Clasico ambayo nako haikusaidia. Kikubwa mi nacholia nacho ni kutojifunza kutokana na makosa, huo mtiririko wote ni makosa yaliyojorudia ambayo yangeweza kusahihishwa mapema na tusingeishia hapa.