Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wapuuzi nyie hamna timu, Dunia itawakomesha mwaka huu Pumbavu zenu huu mwaka hata Copa del ley hampati.
 
Ni vipigo tu kwenda mbele tena hapo hapo nyumbani kwenu Shenzi taipu, Barcelona huu mwaka tunabeba La liga na Copa del ley, Hata Uefa watu wakijichanganya tunapita nalo.
 
Mtanyooshwa mwaka huu mpaka mkome mlijikuta sana Kulia kupokezana na kama mnavyojuaga Barca huwa akijipata basi La liga huwa watu wanacheza kukamilisha ratiba tu maana Bingwa ni yeye,

Huku Uefa ndo hata msiwekee ndoto mechi mtakayokutana na Liverpool heri Tv zigome kuirusha live hiyo mechi maana Kubwa Buyu( Real madrid ) atapigwa kama Punda aliyemdondosha mfalme.
 
Uchovu na kufanikiwa ni vitu viwili tofauti mkuu.

Leo hii tajiri no moja tz ni mo. Ila Siamini kama mo ana juhudi ya kazi kunishinda sisi wote.
Mi nachojua barcelona ndo walotoa bikra, wengine wanakuta shimo tu saiv breki pvmbu, ni kutindua tu.😀

Sikuzote unapoteleza kwenye maku, mshukuru alokutolea bikra😛
 
Huyo dogo alikuwa anajiona star kipindi anacheza na kina Messi,Neymar akawa anawadharau bila kujua kwamba uwepo wa hiyo miamba miwili pale PSG ndio ilikuwa inamfanya aonekane.
Mbappe kaifanyia PSG mambo makubwa na ana rekodi nyingi kabla hata huyo Neymar na Messi hawajafika Psg,

Kiufupi Mbappe ni mchezaji mzuri ila pale Real madrid wanamchezesha namba tofauti na aliyozoea, mimi siipend Madrid ila namkubali sana Mbappe na Vini ila nahis combinationa yao haitoleta matunda labda mmoja aondoke.
 
Jibu swali kwanza kisha ndio uulize swali lako,

Ni juhudi ipi hiyo unayomzidi Mo?
Kwamba mo ndio anaongoza kwa kufanya kazi?

Au mo ana akili nyingi na nguvu nyingi kuzidi wengine wote Tanzania?

Kufanikiwa ni kuongoza kwa juhudi kuliko wengine sio?

Basi kama unaamini hivyo tuishie hapa haina haja kubishana.
 
Mbona utetezi wako umekua mrefu sana,tena unauleta kwa njia ya maswali?
Ungejibu tu nilichokuuliza wala usingejipa hizo pressure za bure.
 
Mbona utetezi wako umekua mrefu sana,tena unauleta kwa njia ya maswali?
Ungejibu tu nilichokuuliza wala usingejipa hizo pressure za bure.
Kama umeshindwa kuona majibu ndani ya hayo maswali haina haja ya kuendelea kukomaa na kitu kisicho na faida kwetu.

As long as ushajua mi na wewe hatuwezi kelewana so haina haja ya kufatiliana mzee
 
Kama umeshindwa kuona kuina majibu ndani ya hayo maswali haina haja ya kuendelea kukomaa na kitu kisicho na faida kwetu.

As long as ushajua mi na wewe hatuwezi kelewana so haina haja ya kufatiliana mzee
Jamiiforums is an open forums,ukisha andika jambo humu,kila mtu anayo haki ya kuchangia,kama unaona mtu kukuuliza kwa ulichokiandika hapa ni kufuatiliwa,basi toka humu hapakufai,

Simple question tu,nimekuuliza ni juhudi za aina gani hizo unazomshinda Mo? Badala ya kujibu umeishia kujiuma uma tu na kuruka ruka.
 
Back
Top Bottom