Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Screenshot_20250215_123058_Facebook.jpg
 
marefa ni wahuni sana, kuna ajenda maalum kutoka chama cha mpira. Ila na timunayo imetupa nafasi za wazi nyingi sana, vini alipoteza nafasi mbili za wazi kabisa mapema sana, zimetugharimu sana mana matokeo yangekuwa mengine kabisa.
 
Hii mechi sio ya kulaumu kocha hata kidogo, ni refa na wachezaji wetu tu.

Wachezaji wangetumia nafasi vizuri tungeshinda hata kama refa angepeta vipi... labda angekataa magoli hapo ingekua kesi nyingine
 
Kocha amaesha figure out the way to play na balancing ya timu, timu imekuwa ikicheza vizuri kwa zaidi ya mwezi sasa, individual errors ndizo zinazo tugharimu. Hata mechi ya man city kama sio city wenyewe kujichanganya mechi tulikwishaipoteza kwa kupoteza nafasi za wazi kirahisi.
 
Utulivu ulikuwa mdogo, haswa kwa Mbappé na Vinicius, wangekuwa na utulivu aliokuwa nao Benzema mambo yangekuwa tofauti sana.
Kuna kila sababu ya club kuzungumza na wachezaji wetu, marefa wapo dhidi yetu, so utulivu ujahitajika sana kipindi hiki.
 
Kocha amaesha figure out the way to play na balancing ya timu, timu imekuwa ikicheza vizuri kwa zaidi ya mwezi sasa, individual errors ndizo zinazo tugharimu. Hata mechi ya man city kama sio city wenyewe kujichanganya mechi tulikwishaipoteza kwa kupoteza nafasi za wazi kirahisi.
Kweli kabisa broo
 
Hii Ligi ya msimu huu namna inavyopikwa ni kama vile kombe la dunia la 2022,ni aibu kwa kwel...sasa sijui mamlaka za soka za Spain hawajisikii aibu kwa haya yanayoendelea?
Acheni kulalama imarisheni kikosi chenu chezeni mpira fungeni magoli.

Malalamiko hayatowasaidia.
 
Back
Top Bottom