Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa mwehu ameshindwa kumsikia luca yupo karibu mpaka katoa Hiko kidude sikioni, alimsika vipi jude angali alikua mbali
Atletico hawana madhara kwetu, barcelona ndio adui yetu hatakiwi kuchukua hii ndoo itakua aibuAtletico madrid vs Celta vigo 1:1 FT
Haya ni matokeo mazuri sana kwetu sisi Madrid, J3 Barcelona naomba wapigwe
Pole sana.Atletico madrid vs Celta vigo 1:1 FT
Haya ni matokeo mazuri sana kwetu sisi Madrid, J3 Barcelona naomba wapigwe
Hii mechi sio ya kulaumu kocha hata kidogo, ni refa na wachezaji wetu tu.marefa ni wahuni sana, kuna ajenda maalum kutoka chama cha mpira. Ila na timunayo imetupa nafasi za wazi nyingi sana, vini alipoteza nafasi mbili za wazi kabisa mapema sana, zimetugharimu sana mana matokeo yangekuwa mengine kabisa.
Ndoo tunachukua bila ya shida.Atletico hawana madhara kwetu, barcelona ndio adui yetu hatakiwi kuchukua hii ndoo itakua aibu
Hii mechi sio ya kulaumu kocha hata kidogo, ni refa na wachezaji wetu tu.
Wachezaji wangetumia nafasi vizuri tungeshinda hata kama refa angepeta vipi... labda angekataa magoli hapo ingekua kesi nyingine
Utulivu ulikuwa mdogo, haswa kwa Mbappé na Vinicius, wangekuwa na utulivu aliokuwa nao Benzema mambo yangekuwa tofauti sana.Hii mechi sio ya kulaumu kocha hata kidogo, ni refa na wachezaji wetu tu.
Wachezaji wangetumia nafasi vizuri tungeshinda hata kama refa angepeta vipi... labda angekataa magoli hapo ingekua kesi nyingine
Kweli kabisa brooKocha amaesha figure out the way to play na balancing ya timu, timu imekuwa ikicheza vizuri kwa zaidi ya mwezi sasa, individual errors ndizo zinazo tugharimu. Hata mechi ya man city kama sio city wenyewe kujichanganya mechi tulikwishaipoteza kwa kupoteza nafasi za wazi kirahisi.
Kweli kabisa brooUtulivu ulikuwa mdogo, haswa kwa Mbappé na Vinicius, wangekuwa na utulivu aliokuwa nao Benzema mambo yangekuwa tofauti sana.
Kuna kila sababu ya club kuzungumza na wachezaji wetu, marefa wapo dhidi yetu, so utulivu ujahitajika sana kipindi hiki.
Unajifariji eeh?Wazee wa los blancos naona mnasongesha gurudumu taratibu. Wala hatuitaji kuhofia yoyote. Msimu huu laliga ni kikombe cha lazima kubeba.
Hasta el final,
Hala Madrid
Acheni kulalama imarisheni kikosi chenu chezeni mpira fungeni magoli.Hii Ligi ya msimu huu namna inavyopikwa ni kama vile kombe la dunia la 2022,ni aibu kwa kwel...sasa sijui mamlaka za soka za Spain hawajisikii aibu kwa haya yanayoendelea?
Acheni kulalama imarisheni kikosi chenu chezeni mpira fungeni magoli.
Malalamiko hayatowasaidia.