Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayo video ya ile turn ya Rodr before goli la pili?
Hili goli ni balaa tupu aisee limetengenezwa kutokea mbali.Mbappe nets double and extends the lead for hosts! Real Madrid 2-0 Man City.
View attachment 3242631
View attachment 3242633
Yuko wapi yule aliekuwa hapa anaongea shit eti Asencio sio beki kwasababu hajanunuliwa kwa milioni nyingi?
Yule mwamba Madridista wenzetu lakini hajui mpira kabisa
No mwamba anakuwaga na mawazo yake different. Last year alikuwa anatwambia Bellingham hamna kitu
Yule mwamba anafeligi sana ila twende nae hivyo hivyo.
mzee vipi, unakumbuka matusi yako ya Juzi kwa Tchoumeni?
He played decent yesterday.
Sababu hakuna right back I'd prefer mid ya Jude, Valverde na Ceballos in a game against a team in form.
Camavinga asipobadilika kucheza faulo za kijinga kila dakika bila sababu za msingi ni ya kuuza.
na nyinyi mulikuwa munasema ndio best player in the world. vipi bado munaendelea kusimama na maneno yenu?
na nyinyi mulikuwa munasema ndio best player in the world. vipi bado munaendelea kusimama na maneno yenu?
Bila kuwataja wakandaji wako Barcelona ujiskii raha eeh?Tunalipa na zile za barcelona
Asencio kujiamini kunaongezeka kadri siku zinavyoenda, Tuombe tu kuwa hatapatikana na hatia kwenye kesi inayoendelea, maana kiukweli kijana anakuja vizuri na ana uwezo sana., Alaba na Militão itabidi wajipange sana kumtoa dogo hapo., ila ni endapo Ancelloti hatokuwa Kocha wetu msimu ujao, ila akibakia unaweza shangaa dogo akawa bench.
Rodrygo ndo gundi ya timu.
Yes, Jude is still one of the best in the world na atakua for more years to come.
Asencio kujiamini kunaongezeka kadri siku zinavyoenda, Tuombe tu kuwa hatapatikana na hatia kwenye kesi inayoendelea, maana kiukweli kijana anakuja vizuri na ana uwezo sana., Alaba na Militão itabidi wajipange sana kumtoa dogo hapo., ila ni endapo Ancelloti hatokuwa Kocha wetu msimu ujao, ila akibakia unaweza shangaa dogo akawa bench.
Jude Bellingham Currently is one of the best midfielder in the world. His pace, dribbling skill, stats shows his passing occuracy is 85.58%, top speed 33.5 km/h and he has decent number of assists and goals.
On my opinion, so far, Jude Bellingham is the best English player to ever play for Real Madrid.
sio best tena saivi amekuwa one of the best? soo fast aisee
He has always been one of the best. The best sijui ulisikia wapi unaweza tupa rejea? Kuna mtu alisema Jude atashinda Ballon d'or au FIFA best? Last season kila mtu and their grandma walijua the best ni Vini au Rodri hiyo ya Jude sijui unaitoa wapi japo Jude alikua La liga player of the year.
Unamchukia Jude kwa sababu zako binafsi, ni wewe tu dunia nzima but he's irreplaceable. Ataendelea kuanza na kuwa among the best.