Record bora za kiutendaji zinazomfanya Ridhwan Kikwete kutogusika ni zipi?

Footstep

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2026
Posts
383
Reaction score
594
Habari ndugu watanzania,

Nimemfuatilia kitambo Sasa Waziri wa utumishi ndugu Ridhwan Kikwete, tangu achaguliwa kuwa naibu Waziri, hajawahi kushuka, ni kupanda tu, amevinjari wizara karibia zote nyeti bila kuguswa na kashfa yoyote. Ni mkimya na anajua kufanya kazi yake vyema.

Alipokuwa wizara ya Ardhi, kulitokea mgogoro mdogo uliopelekea kutoelewana na Mzee Ole Sendeka ambaye haikupita muda gari lake likashambuliwa Kwa risasi, na baada ya mgogoro huo, kijana akahamishiwa kwingine, na sijasikia tena shida.

Swali; Record zipi bora zinazombeba kijana huyu kiutendaji zinazomfanya kutogusika?

Karibuni.
 
Record ya kuzaliwa na Jakaya umeona haitoshi Bongo kwa sasa?

Ridhiwani hata kuongea hajui, kabebwa bebwa na mfumo wa kujuana tu, bila ya kuwa mtoto wa Jakaya Kikwete hata ubunge asingepata.
 
Mbeleko tu hakuna lolote
 
Ina maana hujui kwamba ni mtoto wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete?
Au unatafuta umbeya?
 
Record yake bora kuliko zote ni member na kibaraka wa MUSLIM BROTHER SHIT chini ya ROSTAM AZIZI.
 
Ule uvumi kuwa riziwani alikamatwa na madawa ya kulevya kule china na kutaka kunyongwa hadi baba yake akaenda kupiga goti na kuwapa gesi yetu ya mtwara ili asinyongwe ni za kweli?
Hili halihusiani na mada hapo juu,

Changia record zake bora kiutendaji zinazombeba ni zipi?
 
Ufisadi labda
 
Record ya kuzaliwa na Jakaya umeona haitoshi Bongo kwa sasa?

Ridhiwani hata kuongea hajui, kabebwa bebwa na mfumo wa kujuana tu, bila ya kuwa mtoto wa Jakaya Kikwete hata ubunge asingepata.
Kati ya watu ambao hata kama wanapiga hela, ila wana credibility nzuri kazini ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…