Record bora za kiutendaji zinazomfanya Ridhwan Kikwete kutogusika ni zipi?

Alipokuwa wizara ya Ardhi, kulitokea mgogoro mdogo uliopelekea kutoelewana na Mzee Ole Sendeka ambaye haikupita muda gari lake likashambuliwa Kwa risasi, na baada ya mgogoro huo, kijana akahamishiwa kwingine, na sijasikia tena shida.
So kushambulia wenzake na risasi ni jambo jema!
 
Ukisikia hule msemo ukibebwa ubebeke jamaa ana bebeka mbali na mbeleko iliyomfikisha hapo anajitahidi kimajukumu ukibisha haya niletee waziri hawa maccm aliekua consistence kiutendaji utagundua wote hawana ukubwa huo ni kawaida tu watimizr majukumu yao
 
Hili ni kweli,

Hana kashfa kabisa Lucas Mwashambwa
 
Daah hii ndo kuvimba sasa !! πŸ˜‚ Watoto wadogo wamekuja mjini na malori wanachamba umbea.
Kumbe wahuni washatembea sana korido za ikulu.
 
Kiranga ni mtani wangu,usichukulie serious
Neno la mwisho nimelifanyia kazi.Huyo mtu uliyemtaja kwenye uzi,hana uwezo wa kuongoza vichwa vya wenye uelewa.Wampe uchifu wa Wakwere au kidoooogooo,aishie kwenye ubunge tu.Too rational!
 
Neno la mwisho nimelifanyia kazi.Huyo mtu uliyemtaja kwenye uzi,hana uwezo wa kuongoza vichwa vya wenye uelewa.Wampe uchifu au kidoooogooo,aishie kwenye ubunge tu.Too rational!
Basi tuna safari ndefu Bado kama nchi
 
ooh sasa nimeelewa,nilikua najiuliza siku zote huyu mzee kiranga ana matatizo gani,kila siku yeye ni mtu wa kulalama mitandaoni tu,yaani tangu nsingia jf ,miaka 15 imepita yeye ni kulalama tu,,sasa mzee kiranga kama kwenu ni matajiri kiasi hicho,kilichokufanya ukimbulie US kwenda kuosha mabakuli ya subway ni kitu gani?πŸ€”πŸ˜³,sio kwamba kumbe mlinufaika na mfumo enzi za mwalimu halafu awamu ilipopita mkatupwa nje ya mfumo na hivyo ukatengeneza kinyongo?,unakataa we siyo mzee,wakati Le mutuz ulikua ukimuita bwana mdogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ.
kumbe nyie wazazi wenu ndo walikua kwenye mfumo enzi za nyerere na mkaweza kitoka mkiwa matajiri,how?,,Nyerere mwenyewe hakutoka hata na nyumba,hadi akajengewa na jeshi,,wewe unsjisifu mamako alijenga bungalow la mabilion,obay,no wonder mashirika ya umma yalifirisika hadi mzee Nyerere akaona bora ang'atuke tu,kumbe wazazi wenu ndo wamefirisi nchi,halafu mlipotupwa nje ya mfumo,ukajenga chuki ambayo utaenda nayo hadi kaburini,,
mzee kuwa na moyo wa kuridhika,mmeibia nchi kiwango cha kutisha hadi unajisifu humu,lakini bado haujatosheka,,mzee wa miaka 80 bado tu unapambania upate upenyo wa madaraka,upate ka cheo ili ujengee tena wanao mabungalow ya mabilion siyo?..!!πŸ€”
 
Daah hii ndo kuvimba sasa !! πŸ˜‚ Watoto wadogo wamekuja mjini na malori wanachamba umbea.
Kumbe wahuni washatembea sana korido za ikulu.
πŸ˜‚πŸ˜‚,anajisifu ametembea makorido ya ikulu enzi za mwalimu,lakini anakataa yeye siyo mzee kivile,nyerere alistaafu 1985,so huyu ametembea korido za ikulu miaka ya 80,anamjua hadi secretsry wa mwalimu yule mama wa kizungu,tena usikute huyo alikua shogake mamake,,anajisifu mamake alikuwa fisadi enzi za mwalimu hadi akawa tajiri mwenye majumba oysterbay,,sasa kama mwalimu mwenyewe JK ametoka ikulu bila hata kibanda,,lakini mamake huyu mzee kiranga,aliweza vipi kujenga mjengo wa mabilion?,
mtoto wa fisadi anatupwa nje ya mfumo,anajenga chuki,chuki inamla kwa miaka na miaka hadi uzeeni,,huwa nashangaa sana kwani hawa watu hawaridhiki,yaani umenufaika na mfumo,ukatupwa nje ya mfumo,si uendelee na maisha yako tu kuliko kujipa stress ambazo hazina sababu,
mzazi wako ni fisadi,tena lwa ushuhuda wako mwenyewe,lakini unajiona bado unaweza kunyoshea watu vidole eti siyo viongozi wazuri
 
Wewe hauko serious na unadhihirisha ujinga wako.

Mimi najadili hoja, wewe unaniletea uzushi kuwa naosha mabakuli Subway.

Mimi nina profession nimefanya kazi ya profession yangu mpaka Wall St., unapajua Wall St. ni wapi wewe?

Hakuna awamu tuliyotupwa ni wewe tu mzushi.

Hakuna nilipomuita Le Mutuz bwana mdogo wewe tu muongo.

Wewe mjinga unanuka umasikini na utapiamlo wa ubongo maisha ya kawaida tu unaita utajiri.

Hakuna niliposema mama yangu alijenga bungalow la mabilioni Oysterbay, wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu.

Siwezi kukuchukulia serious wewe mchawi unazushazusha kwamba mimi nina miaka 80, miaka ambayo hata baba yangu hajafika.

Wewe ni mjinga masikini mbishi, sina muda wa kupoteza kubishana nawe hujafikisha viwango vya kujibizana nami.

Nakupeleka kwenye ignore list yangu kuanzia hapa sitaona unachoandika.

Kwa sababu hutaki kujadili hoja na facts unataka kujadili uzushi kichawi.

You are a poor lying muckracking sadist.

Off to my ignore list you go.

Sitaona unachoandika hapa JF milele.
 
Record ya kuzaliwa na Jakaya umeona haitoshi Bongo kwa sasa?

Ridhiwani hata kuongea hajui, kabebwa bebwa na mfumo wa kujuana tu, bila ya kuwa mtoto wa Jakaya Kikwete hata ubunge asingepata.
Ila tusipokuwa waangalifu atakuja kututawala huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…