Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kifupi ni kwamba Wakongwe wa JF wengi tumeamua kukaa kimya na kuwa wasomaji au wengine wame mute kabisa. Tumepitia mambo mengi mno kwa staili Ile ya kwetu enzi hizo za kujadili mambo mazito humu ndani. Kila mmoja wetu ametulia huko aliko ili aishi kwa Amani na salama au kuwa msomaji tu na kuchangia lightly tu. Hii ni kwa kulinda pia usalama na uhai wa JF na members wake. Poleni Sana mliojiunga JF kuanzia 2015 umekosa mambo mazito na muhimu Sana kwa ushauri na maendeleo ya nchi yetu. JF is not the same anymore. Tuliosoma Cuba, Israel, na Urusi mtanielewa.