RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Kama wa 2018 unawaona Wakongwe Sisi kina Zogwale wa July 2008 utatuitaje?
 
Back
Top Bottom