Ni kweli Mkuu ile JF ya 2009-2014 ilikuwa ni ya moto sana na uliloliandika ni kweli lazima kutulia ili kuulinda huu mtandao maana mabalaa aliyoyapata Maxence kipindi kile sio mchezo.Kifupi ni kwamba Wakongwe wa JF wengi tumeamua kukaa kimya na kuwa wasomaji au wengine wame mute kabisa. Tumepitia mambo mengi mno kwa staili Ile ya kwetu enzi hizo za kujadili mambo mazito humu ndani. Kila mmoja wetu ametulia huko aliko ili aishi kwa Amani na salama au kuwa msomaji tu na kuchangia lightly tu. Hii ni kwa kulinda pia usalama na uhai wa JF na members wake. Poleni Sana mliojiunga JF kuanzia 2015 mmekosa mambo mazito na muhimu Sana kwa ushauri na maendeleo ya nchi yetu. JF is not the same anymore. Tuliosoma Cuba, Israel, na Urusi mtanielewa.
Ukisibiri kutajwa utachelewa!Cocochanel 😅😅😅
Chomoa kama inaumaIdiot.
🤣Tupo wengi sema tumebadirisha id tuHabari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue
Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Asante Saana sana
Nakubali mkuu. Moja ya wakongwe ambao mpo active licha ya kupitia kipindi kigumu kipindi cha jiweAsante Saana sana
Hahahahahaba🤣Tupo wengi sema tumebadirisha id tu
Hata hivyo walongwe wenyewe umewaacha
Hahahahaha Kuna Wapumbavu walikua wananifuata inbox na kunitisha, hahahaa nikawaambia sitishiwi nyau! Kuishi na kufa ni vitu vipo TU. Asante Saana, nili-join JF 17 of March 2008 yaani miaka kama 15 iliyopita na nimekua active siku zote...... hahahàNakubali mkuu. Moja ya wakongwe ambao mpo active licha ya kupitia kipindi kigumu kipindi cha jiwe
Hahahaha tulikua tunakesha JF Hadi asubuhi, Ile experience ilikua tamu sanaNi kweli Mkuu ile JF ya 2009-2014 ilikuwa ni ya moto sana na uliloliandika ni kweli lazima kutulia ili kuulinda huu mtandao maana mabalaa aliyoyapata Maxence kipindi kile sio mchezo.
Wakajua utasanda kumbe wakakutana na mbishi real. Wako wapi leo? Wametumika sasa hivi wametupwa kama condom usedHahahahaha Kuna Wapumbavu walikua wananifuata inbox na kunitisha, hahahaa nikawaambia sitishiwi nyau!
Miaka 15 sio poa na still active na account ni ileileHahahahaha Kuna Wapumbavu walikua wananifuata inbox na kunitisha, hahahaa nikawaambia sitishiwi nyau! Kuishi na kufa ni vitu vipo TU. Asante Saana, nili-join JF 17 of March 2008 yaani miaka kama 15 iliyopita na nimekua active siku zote...... hahahà
Wako humu ndani wamebadilisha IDs, Leo hii wako upande wetu pia, wanaandika Kwa povu balaaWakajua utasanda kumbe wakakutana na mbishi real. Wako wapi leo? Wametumika sasa hivi wametupwa kama condom used
Ugumu wa maisha ni uleule uwe kada wa chama tawala, uwe na kadi ya mwanachama au uwe chawa wa LumumbaWako humu ndani wamebadilisha IDs, Leo hii wako upande wetu pia, wanaandika Kwa povu balaa