RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Manda ni DSO huyo. Namfahamu, kuna siku nilikuwa naponda utawala wa kikwete humu nikiwa na ID zangu za zamani nikamsikia anawaelezea watu kile nilichoandika. Siku hizi bado ni DSO huku Tanga. Alikuwaga Katavi then kapelekwa huko. Sasa ni mtu mzima.
 
Mkuu mzima, asante kwa kunikumbuka. big up mkuu
Mzima sana mkuu! Yeah, nyie no wakongwe humu! Ulikuwaga ma michango mizuri sana kuhusu Kilimo. Sijui bado unaendelea na Kilimo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…