RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Wewe ndiye kidogo umejaribu kuweka wakongwe. Mimi nashangaa mwanzisha thread ametaja ''watoto'' wa juzi juzi eti anasema ni wakongwe!
Watu kama kina Masanilo ndiyo najua ni wa siku nyingi.
Hivi Mwafrika wa Kike aliishiaga wapi?
 
Hivi huyu ndugu aliyekuwa analeta mambo ya moto Jasonbourne aliishiaga wapi?
 
Wale tulianza 2005 tujuane hapa...Tukaingia Jambo forums kisha Jamii....lile li Robbot jeusi sijui limeishia wapi!

Egnigma naye kanyamaza huyo, Rev Kishoka kaacha kabisa ku post...Nawasalimia wahenga wenzangu
 
upoo mkuu, nashukuru sana, inabidi tufufue kabisa. chai day siyo looh
Ile chai yetu Malila ungeanzisha tena tuje tujuane...Na Mimi nalima hasa siku hizi
 
Malila kama ni wewe Aloyce Tesha nitakupigia maana namba zako za enzi za Jamii Emporwent Saccos bado zipo kwenye DB langu 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…