Hivi Mwafrika wa Kike aliishiaga wapi?Wewe ndiye kidogo umejaribu kuweka wakongwe. Mimi nashangaa mwanzisha thread ametaja ''watoto'' wa juzi juzi eti anasema ni wakongwe!
Watu kama kina Masanilo ndiyo najua ni wa siku nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mwafrika wa Kike aliishiaga wapi?Wewe ndiye kidogo umejaribu kuweka wakongwe. Mimi nashangaa mwanzisha thread ametaja ''watoto'' wa juzi juzi eti anasema ni wakongwe!
Watu kama kina Masanilo ndiyo najua ni wa siku nyingi.
Ile chai yetu Malila ungeanzisha tena tuje tujuane...Na Mimi nalima hasa siku hiziNdiyo naendelea nacho kimya kimya, namshukuru Mungu
Hata sijuiHivi Mwafrika wa Kike aliishiaga wapi?
Ile chai yetu Malila ungeanzisha tena tuje tujuane...Na Mimi nalima hasa siku hizi
sijui kapotelea wapi etiLAT ni mwamba sana yule jamaa halafu alikuwa ni mtu wa kupeana fursa sana
Au ndio wewe Mkuu 😅sijui kapotelea wapi eti
Nafurahi kukuona tena jf mkuu karibu sana!!Nipo mama.. Kama wamekula rambirambi yako waambie wakurudishie
Thanks mkuu..At least nina mwenyejiNafurahi kukuona tena jf mkuu karibu sana!!
Thanks mpenzi...