Records za Messi & Halaand 2022/23

Records za Messi & Halaand 2022/23

World Cup ni mechi 6 tu mzee, wakati mechi za ligi, uefa, fa ni karibia 60

Kipi kitumike kigezo? Mechi 6 au 60?
Kwanza ni 7 halafu ni Against top top players, kucheza mechi 100 za Fa na mechi 7 za world cup hizo za world cup zina uzito zaidi. World cup ni shindano ambalo huwezi kuwa GOAT bila kuchukua, huwezi fananisha na mashindano yoyote yale.

Pia kwenye League msimu huu ni wachezaji wawili tu ambao wana Goli 15+ na Assist 15+ ambao ni Messi na Griezman, hivyo sio kwamba Messi hana Claim kwenye Ligi.

Ukiangalia Champions league Pia Haaland mwishoni alikua Butu, ukumbuke Haaland yupo limited sana Uchezaji wake bila Magoli mara nyingi anakua mzigo. Ndio maana unaona hata Mchezaji bora wa UCL msimu huu kapewa Rodri na Sio Haaland.
 
Haaland ni mfungaji mzuri ila pale Man city tu sio Mchezaji bora why apewe yeye Baloon D or? By far De bruyne alikua bora zaidi na ni debate Rodri na Gundogan wana msimu mzuri pia. Kama kuna Ubishi uwe ni Messi vs De Bruyne.

Nan kakuambia sio mchezaj bora pale city
 
Kwanza ni 7 halafu ni Against top top players, kucheza mechi 100 za Fa na mechi 7 za world cup hizo za world cup zina uzito zaidi. World cup ni shindano ambalo huwezi kuwa GOAT bila kuchukua, huwezi fananisha na mashindano yoyote yale.

Pia kwenye League msimu huu ni wachezaji wawili tu ambao wana Goli 15+ na Assist 15+ ambao ni Messi na Griezman, hivyo sio kwamba Messi hana Claim kwenye Ligi.

Ukiangalia Champions league Pia Haaland mwishoni alikua Butu, ukumbuke Haaland yupo limited sana Uchezaji wake bila Magoli mara nyingi anakua mzigo. Ndio maana unaona hata Mchezaji bora wa UCL msimu huu kapewa Rodri na Sio Haaland.
Sasa kombe la dunia ni shindano kubwa kwa sababu za kisiasa ila halina mechi ngumu, na wala sio kipimo sahihi cha ubora wa mchezaji, mfano Argentina alicheza mechi za maana zilikuwa 2 tu, dhidi ya France Fainali na kidogo dhidi ya Croatia

Nyingine ni dhidi ya timu nyepesi kama Poland, Saudi Arabia, Australia n.k

Tofauti na Champions league ambako kuna timu ngumu zenye mkusanyiko wa wachezaji bora duniani kama Madrid, Bayern Munich, Inter Milan ambazo City kazifunga ,

Kuthibitisha hilo tazama Messi na Mbape, wachezaji waliofanya vizuri zaidi kombe la Dunia lakini hawakuweza kuifunga timu kama Inter Milan na Bayern Munich na kupelekea kutolewa mapema UEFa

kwenye ligi ngumu yenye ushindani kama Uingereza kulikuwa na timu ngumu kama Arsenal, Man Utd, Newcastle ambazo City kuzifunga na kuchukua kombe kwa msaada wa Haaland na alivunja rekodi ya ufungaji
 
Messi na Mbape, wachezaji waliofanya vizuri kombe la Dunia lakini hawakuweza kuifunga Bayern Munich na kutolewa UEFa

kwenye ligi ngumu yenye ushindani kama Uingereza kulikuwa na timu ngumu kama Arsenal, Man Utd, Newcastle ambazo City kuzifunga na kuchukua kombe kwa msaada wa Haaland na alivunja rekodi ya ufungaji

Kuna WC ilokua ngumu kama ya mwaka jana?? Ulitegemea Belgium kutolewa makundi? Ulitegemea kuona Morocco akifika Semi?. Mbona uyo KDB alishindwa kuifikisha Belgium fainal kama WC ni rahisi??. Kwanini Haland na Norway walishindwa kufuzu hatua za makundi??.

Ukileta hoja kama hizo nakuona mtu usiyejua mpira hao Poland, Australia unao sema wepesi walifika round 16 vipi kuhusu Belgium??.

Hao unaosema bora mwaka huu hawakua kwenye kiwango chao tukianza na Madrid, Liverpool, Barcelona, Bayern kaja drop mwshoni, psg nae hakuwa form. City ndo alikua form mwaka huu ndomana alipewa nafas kubwa sana ya kuchukua UEFA.
 
Aisee! wanakusanya mpaka magoli ya mechi za kirafiki za Jamaica na Panama kumuongezea Messi Magoli 😂 😂 😂 😂
 
FB_IMG_16866971562749269.jpg
 
World Cup ni mechi 6 tu mzee, wakati mechi za ligi, uefa, fa ni karibia 60

Kipi kitumike kigezo? Mechi 6 au 60?

WC inaanzia mechi za awali...

Zinapokutana nchi 32, zile huitwa fainal za WC, ikimaanisha washindi bora toka katika mabara kupitia michuano ya awali...

Sasa Halaand hata hakuweza kuibeba timu yake ifanikiwe ku qualify...
 
Sasa kombe la dunia ni shindano kubwa kwa sababu za kisiasa ila halina mechi ngumu, na wala sio kipimo sahihi cha ubora wa mchezaji, mfano Argentina alicheza mechi za maana zilikuwa 2 tu, dhidi ya France Fainali na kidogo dhidi ya Croatia

Nyingine ni dhidi ya timu nyepesi kama Poland, Saudi Arabia, Australia n.k

Tofauti na Champions league ambako kuna timu ngumu zenye mkusanyiko wa wachezaji bora duniani kama Madrid, Bayern Munich, Inter Milan ambazo City kazifunga ,

Kuthibitisha hilo tazama Messi na Mbape, wachezaji waliofanya vizuri zaidi kombe la Dunia lakini hawakuweza kuifunga timu kama Inter Milan na Bayern Munich na kupelekea kutolewa mapema UEFa

kwenye ligi ngumu yenye ushindani kama Uingereza kulikuwa na timu ngumu kama Arsenal, Man Utd, Newcastle ambazo City kuzifunga na kuchukua kombe kwa msaada wa Haaland na alivunja rekodi ya ufungaji
Mfano intermillan amekutana na timu gan ngumu ukiondoa mancity?
 
Kuna WC ilokua ngumu kama ya mwaka jana?? Ulitegemea Belgium kutolewa makundi? Ulitegemea kuona Morocco akifika Semi?. Mbona uyo KDB alishindwa kuifikisha Belgium fainal kama WC ni rahisi??. Kwanini Haland na Norway walishindwa kufuzu hatua za makundi??.

Ukileta hoja kama hizo nakuona mtu usiyejua mpira hao Poland, Australia unao sema wepesi walifika round 16 vipi kuhusu Belgium??.

Hao unaosema bora mwaka huu hawakua kwenye kiwango chao tukianza na Madrid, Liverpool, Barcelona, Bayern kaja drop mwshoni, psg nae hakuwa form. City ndo alikua form mwaka huu ndomana alipewa nafas kubwa sana ya kuchukua UEFA.
Aisee kwanini mnajadili kuwa Haaland hana vigezo kisa WC wakati ndie anaepambanishwa na Messi? Hii tuzo imekaa kimahaba kama msimu uliopita, wazungu wanasema "if u don have a king, make one for you..lengo ni kumuondoa Pele rangi nyeusi kwenye ufalme wa mpira wa wakati wote..na hamtajua hili...siku mzungu anaingia kwenye records za hivi hakika messi atakua daraja maana fact watakazotoa mwenyewe utaona kweli hakufaa..
 
kama World cup ina thamani kubwa kwanini world cup zilizopita washindi wake hakubeba hiyo tunzo?
Modric, Cannavaro, Zidane, Ronaldo de Lima na Messi wote Wamebeba Baloon Do or sababu ya world Cup, wamechukua Uchezaji bora wa World Cup na Baloon D or.

Toka 1998 world cup yangu ya kwanza kuangalia ni mwaka 2010 tu ndio Diego Forlan alikuwa mchezaji bora na Hakuchukua Baloon d or.
 
Acha kusema uwongo mkuu.

1998 mchezaji bora alikua Ronaldo. Hakubeba Tunzo
2002 mchezaji bora alikuwa Kahn - Hakubeba tunzo
2006 mchezaji bora alikuwa Zidane - hakubeba tunzo
2010 - mchezaji bora alikuwa Forlan - hakubeba tunzo
2014 mcherzaji bora alikuwa Messi - hakubeba tunzo
2018 - Mchezaji bora alikuwa Modeic - alibeba tunzo. ( ndie mchezaji pekee aliyebeba tunzo katika world cup zote hizo)

Punguza mihemko mkuu.
 
Back
Top Bottom