Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Ya 8 kabatini..atomica la pulga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well inawezekana Hawakubeba hio tuzo per se ila uchukuaji wao Baloon d or umetokana na Hilo kombe la Dunia.Acha kusema uwongo mkuu.
1998 mchezaji bora alikua Ronaldo. Hakubeba Tunzo
2002 mchezaji bora alikuwa Kahn - Hakubeba tunzo
2006 mchezaji bora alikuwa Zidane - hakubeba tunzo
2010 - mchezaji bora alikuwa Forlan - hakubeba tunzo
2014 mcherzaji bora alikuwa Messi - hakubeba tunzo
2018 - Mchezaji bora alikuwa Modeic - alibeba tunzo. ( ndie mchezaji pekee aliyebeba tunzo katika world cup zote hizo)
Punguza mihemko mkuu.
Well inawezekana Hawakubeba hio tuzo per se ila uchukuaji wao Baloon d or umetokana na Hilo kombe la Dunia.
-Sio siri 1998 Zidane alirun show World cup
-2002 khan alipewa Tuzo mapema ila baada ya Fainali Mchango wa De lima ukampa Tuzo
-2006 hivyo hivyo Carvalho
Hata 2010 ilikua ni Baina ya Snejder na Iniesta wengi walilalamika kupewa Messi.
WC inaanzia mechi za awali...
Zinapokutana nchi 32, zile huitwa fainal za WC, ikimaanisha washindi bora toka katika mabara kupitia michuano ya awali...
Sasa Halaand hata hakuweza kuibeba timu yake ifanikiwe ku qualify...
Mfano intermillan amekutana na timu gan ngumu ukiondoa mancity?
Haha sasa Barca ya kipindi kile ilikuwa ngumu? iliyofungwa na ManU ile?acha kupenda pombe ndugu, zinapotezesha kumbukumbu. Inter alitoka kwenye kundi la kifo la Barca na Buyern Munich
hizo mechi za awali zinachukua miaka mingapi kukamilika? tunzo ni ya mwaka sio miaka minne
Kuna mechi zilizochezwa mwaka 2022
Haha sasa Barca ya kipindi kile ilikuwa ngumu? iliyofungwa na ManU ile?
Ndio maana 2010 watu walipiga kelele, na 2018 Modric alikua standout akabeba Baloon do or.vipi kuhusu 2010? kwanini Iniesta wala Snejdar hawakushinda?
2014? kwanini Nuer wala Kroos hawakushinda?
2018? kwanini Mbappe wala Greizman hawakushinda?
Ndio maana 2010 watu walipiga kelele, na 2018 Modric alikua standout akabeba Baloon do or.
2014 hakukua na standout sana, Gotze ambaye alifunga la ushindi hakua na msimu mzuri. Ila Neur alikua na Claim pia
Ronaldo alikua Much better than Modric Ucl msimu ule, kama kigezo ni UCL angebeba Ronaldo.Modric hakubeba baloon 2018 kwa sababu ya world cup tu, Ali win champion league na alikua katika top perfumers. hakukua na sababu asishinde.
Kinachomshusha messi ni kuwa ame flop kwenye Club season. Chamipion legaue hakuna alichofanya kabisa. na kaisha kufunga vigoli kadhaa ila kwenye Famers league.
Cha kufurahisha kabisa, washabiki wa Messi wanaolilia kuwa messi anastahiki kushinda ndio hao hao waliokuwa wakipiga debe miaka ya nyuma kuwa mtu hawezi kupewa uchezaji bora kwa mechi saba, now wamebadilisha kibao wamerukia upande wa pili. Ushabiki maandazi ni kitu kibaya sana.
Modric hakubeba baloon 2018 kwa sababu ya world cup tu, Ali win champion league na alikua katika top perfumers. hakukua na sababu asishinde.
Kinachomshusha messi ni kuwa ame flop kwenye Club season. Chamipion legaue hakuna alichofanya kabisa. na kaisha kufunga vigoli kadhaa ila kwenye Famers league.
Cha kufurahisha kabisa, washabiki wa Messi wanaolilia kuwa messi anastahiki kushinda ndio hao hao waliokuwa wakipiga debe miaka ya nyuma kuwa mtu hawezi kupewa uchezaji bora kwa mechi saba, now wamebadilisha kibao wamerukia upande wa pili. Ushabiki maandazi ni kitu kibaya sana.
Ngoja nokupe G/A stats this season:Modric hakubeba baloon 2018 kwa sababu ya world cup tu, Ali win champion league na alikua katika top perfumers. hakukua na sababu asishinde.
Kinachomshusha messi ni kuwa ame flop kwenye Club season. Chamipion legaue hakuna alichofanya kabisa. na kaisha kufunga vigoli kadhaa ila kwenye Famers league.
Cha kufurahisha kabisa, washabiki wa Messi wanaolilia kuwa messi anastahiki kushinda ndio hao hao waliokuwa wakipiga debe miaka ya nyuma kuwa mtu hawezi kupewa uchezaji bora kwa mechi saba, now wamebadilisha kibao wamerukia upande wa pili. Ushabiki maandazi ni kitu kibaya sana.
Ngoja nokupe G/A stats this season:
1.Haaland 60 G/A ( 22 yrs)
2.Mbappe 49 G/A ( 24 yrs)
3.Vinicius 44 G/A. ( 22 yrs)
4. Salah 43 G/A ( 31 yrs)
5. Messi 40 G/A (35 yrs)
How on Earth Messi mwenye 35 Years ameflop kwenye Club season we jamaa? ni Messi na KDB tu ndio wana 16 assists Europe top 5 league. In total Messi ana 40 G/A wakati Haaland ana 60 G/A. Messi toka 2011 ana hit 60+ G/ A, kuanzia 2020 ndo anashindwa kufanya hivyo na ni kwa sababu ya Age yake.
Haaland amafunga magoli sawa lakini haja influence games za Mancity kwa kiasi kikubwa hasa in Big matches in CL ndio maana Best player amepewa RODRI.
Utofauti ni kwamba. Messi ana Golden ball(Best player) ya World CUP na ametwaa WORLD CUP. Hili ndo Kombe Kubwa na lenye thamani zaidi Duniani .Hili ndo kikwazo kikubwa kwa Haaland kutwaa hii tuzo.
Hapa nimepata elimu namimi kwanini huwa zinaitwa "fainali za kombe kombe la dunia"WC inaanzia mechi za awali...
Zinapokutana nchi 32, zile huitwa fainal za WC, ikimaanisha washindi bora toka katika mabara kupitia michuano ya awali...
Sasa Halaand hata hakuweza kuibeba timu yake ifanikiwe ku qualify...
Ngoja nokupe G/A stats this season:
1.Haaland 60 G/A ( 22 yrs)
2.Mbappe 49 G/A ( 24 yrs)
3.Vinicius 44 G/A. ( 22 yrs)
4. Salah 43 G/A ( 31 yrs)
5. Messi 40 G/A (35 yrs)
How on Earth Messi mwenye 35 Years ameflop kwenye Club season we jamaa? ni Messi na KDB tu ndio wana 16 assists Europe top 5 league. In total Messi ana 40 G/A wakati Haaland ana 60 G/A. Messi toka 2011 ana hit 60+ G/ A, kuanzia 2020 ndo anashindwa kufanya hivyo na ni kwa sababu ya Age yake.
Haaland amafunga magoli sawa lakini haja influence games za Mancity kwa kiasi kikubwa hasa in Big matches in CL ndio maana Best player amepewa RODRI.
Utofauti ni kwamba. Messi ana Golden ball(Best player) ya World CUP na ametwaa WORLD CUP. Hili ndo Kombe Kubwa na lenye thamani zaidi Duniani .Hili ndo kikwazo kikubwa kwa Haaland kutwaa hii tuzo.
Ronaldo alikua Much better than Modric Ucl msimu ule, kama kigezo ni UCL angebeba Ronaldo.
Pia Messi amefanya Vizuri kwenye Ligi na World Cup.
Issue ni kwamba Haaland hata UCL sio Mchezaji bora ana Claim ya Epl tu. Messi pia ana Claim ya Ligi na world cup. Compare Perfomance ya Messi World Cup na Haaland UCL utapata jibu.
Mimi sio Shabiki wa Messi na sijawahi kuwa Shabiki wake, watu kibao wanajua mimi ni Shabiki wa Man U/Ronaldo, Naongea tu kama Mpenzi wa Soka. Na wala sitalalamika Akibeba De Bruyne, Rodri ama Gundogan hao ndio Machine ilioipa City Treble Msimu huu.
Tim Ronaldo mnaumia sana kuona Messi akibeba ya 8. Hata uweke stats zote za Messi na Haaland bado dogo hafikikishi hata 20%. Mara 100 ungenambia alvarez au Debruyne ningekuelewa Haaland hapana.