Records za Messi & Halaand 2022/23

Records za Messi & Halaand 2022/23

kinachokuteseni wengi wenu ni mahaba, Messi katika miezi sita iliopita hata goli tano ameshindwa kufikisha.
Nahapa hapa huruma ya umri hata yeye alipokua ealry 20's alishindana na watu wa 30's. hakuna kipengele cha huruma wa umri kwenye ushindani
Nimekupa Facts unasema mahaba! HAALAND si anastahili Best Player .Mbona CL Best player of the season amepewa RODRI na sio yeye ??. Uliiona performance ya HAALAND kwenye Semi or Final ya UEFA au hata FA final? Haaland game yake ime rely sana kwenye Magoli asiposhinda haonekani. Big stages za Michuano CL kashindwa Kupeform.Licha ya Magoli yake ya CL,Haaland ame shine sana EPL ,magoli yake mengi ni ya EPL ndio maana EPL amepewa Best player. Messi Best player tornament ya WC mzee na amebeba WC tambua hilo.
 
Halland amebeba treble na pia amefunga 50+ goals na wewe pia utambue hilo. Vijana mpo bzy kuzitafuta mechi ambazo halland hakunga'ara 😂 😂 😂 Hivi Messi alikuwa wapi katika zile mechi mbili za round ya 16 za Bayern?
 
kwanini unakua unajifanya mgumu kuelewa?
Ronaldo alifanya vizuri UCL ila alivurunda kwenye world cup. Modric alifanya vizuri mote muwili ndicho kilichomfanya akawa bora zaidi yake.

Messi amefanya vyema world cup, Ila kwenye club season hamna kitu. Champion league knockout stage hata goli moja hana, kaishia kufunga funga Ligue One na hata huko hata akina Lagazetti wamempa hali ngumu. Ligue one haiwezi kuwa kigezo cha mafanikio katika Cub Season Europe.
Mkuu Sema UCL na sio Club, Messi ana 16 goal na 16 assist ligue 1, ni yeye na Griezmann kwenye Top 5 league wenye Assist na Magoli zaidi ya 15. Kwanini unahisi ana msimu mbaya kwenye Club?
 
Nimekupa Facts unasema mahaba! HAALAND si anastahili Best Player .Mbona CL Best player of the season amepewa RODRI na sio yeye ??. Uliiona performance ya HAALAND kwenye Semi or Final ya UEFA au hata FA final? Haaland game yake ime rely sana kwenye Magoli asiposhinda haonekani. Big stages za Michuano CL kashindwa Kupeform.Licha ya Magoli yake ya CL,Haaland ame shine sana EPL ,magoli yake mengi ni ya EPL ndio maana EPL amepewa Best player. Messi Best player tornament ya WC mzee na amebeba WC tambua hilo.

Jamaa anatuambia WC sio kitu
 
aisee! mtu ana goli 50+ kwenye msimu bado unasema hakuwa na influence kwenye mechi za timu? Ndio mana nikasema knachokuteseni ni mahaba yaliopitiliza kwa wapenzi wenu.
Naona hujanisoma vizuri!.Hakuwa na Influence in Big stages in CL ndio nilicho maanisha, hakuwa engine ya team kutwaa CL ,ndio maana tuzo amepewa RODRI. Best player of the season mwaka Jana CL alipewa BENZEMA nadhani unajua alichokifanya kwa Madrid.
 
Halland amebeba treble na pia amefunga 50+ goals na wewe pia utambue hilo. Vijana mpo bzy kuzitafuta mechi ambazo halland hakunga'ara [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi Messi alikuwa wapi katika zile mechi mbili za round ya 16 za Bayern?

Na Haaland alikua wapi na Norway kwenye WC??
 
Haaland anafaa kwa vigezo vipi?? Tuanzie hapa

treble winner
50+ goals kwenye msimu
Champion League Top scorer
EPL Top Scorer
European Golden Shoe winner
Top goal scorer Europe of the Season.
EPL Player of the Season
 
Naona hujanisoma vizuri!.Hakuwa na Influence in Big stages in CL ndio nilicho maanisha, hakuwa engine ya team kutwaa CL ,ndio maana tuzo amepewa RODRI. Best player of the season mwaka Jana CL alipewa BENZEMA nadhani unajua alichokifanya kwa Madrid.

Big stage zipi unazozitaka? zile goli tano mechi ya Leipzig ilikua ni stage ndogo?
Zile mechi mbili za Buyern Munich robo final nayo ilikua ni stage ndogo?
 
Halland amebeba treble na pia amefunga 50+ goals na wewe pia utambue hilo. Vijana mpo bzy kuzitafuta mechi ambazo halland hakunga'ara [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi Messi alikuwa wapi katika zile mechi mbili za round ya 16 za Bayern?
Kama unataka STATS za Magoli basi MESSI angekuchukua 2018 dhidi ya MODRIC na RONALDO.SUAREZ angechukua 2016 zidi ya RONALDO.Hakuna kombe Kubwa kuliko WC mzee ,CL ni kombe la kawaida tu mbele ya WC.
Screenshot_20230611-011642_1.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230611-010835_2.jpg
    Screenshot_20230611-010835_2.jpg
    58 KB · Views: 3
Mkuu Sema UCL na sio Club, Messi ana 16 goal na 16 assist ligue 1, ni yeye na Griezmann kwenye Top 5 league wenye Assist na Magoli zaidi ya 15. Kwanini unahisi ana msimu mbaya kwenye Club?

15 goals kweney Ligue one, hazijapishana sana na za ligi ya Bongo, Lagazetti amepiga karibu 28 goals and no one talk about him. sababu no body care about French league. Lakini osimhen ambaye kapiga goli 25 tu serie A tizama alivyokuwa talk of town.
Zlatan na Cavani walikuwa mpaka wakipiga 40 goals walipokuwa France, hawakuwahi kuhusishwa na tunzo zozote mana French League haijwahi kuwa considered as a Top League Europe.
 
treble winner
50+ goals kwenye msimu
Champion League Top scorer
EPL Top Scorer
European Golden Shoe winner
Top goal scorer Europe of the Season.
EPL Player of the Season

Kama ni hivo why asipewe Alvarez ambaye ana
1. Worlcup
2. Uefa
3. Epl
4. FA
????
 
Big stage zipi unazozitaka? zile goli tano mechi ya Leipzig ilikua ni stage ndogo?
Zile mechi mbili za Buyern Munich robo final nayo ilikua ni stage ndogo?
QF na Bayern ile ya 1:1 MOTM alikuwa KDB
Second leg 3:0 ,MOTM alikuwa RUBEN DIAS. Kwa nini hakupewa Haaland kama alikuwa na mchango mkubwa??

Fuatilia games za Argentina WC ,karibu mechi zote Messi alikuwa anakuwa MOTM ndio maana akapewa Best player!.
 
kuwa MOTM KDB sio hoja kuwa nayeye haku perform. au kwenye mechi mchezaji aneperform vizuri huwa ni mmoja tu?
 
Messi alibeba taji gani 2018?
Messi alikuwa Champion league Top Score 2018?
Kumbe issue ni kuwa na taji OK sawa!.

Messi na WC na League one msimu huu na ni Best player WC

Haaland ana CL ,EPL na FA na ni Best player EPL

Kwa hiyo tumpe Best player wa EPL tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia si ndio??
 
Back
Top Bottom