Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .

Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne

Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa

Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri

Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri

Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious

Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo

We dont have quality people ,
 
kwahiyo hawa wanaorecircle ndio kidogo wana afadhali, dah sasa sijui sisi watanzania wenyewe wa huku Tandika na TMK tuna hali gani.
Hao ndio nafuu mkuu wa huku Tandale kutwa nzima kujadili Zuchu na Diamond,Simba na Yanga,muulize kwanini DRC wanazungumza kifaransa na sio kibelgiji wakoloni wao atatoa macho
 
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .

Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne

Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa

Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri

Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri

Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious

Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo

We dont have quality people ,
Mkuu tatizo kubwa tulilonalo ni kwamba, mawazo kama haya Wa TZ wengi hawapendi kuyasikia. Hebu fikiria tu kwamba kuna ka-sheria kana-tamka kuwa ili uwe"Ajue kusoma na kuandika" Mbunge ni lazima ujue kusoma na kuandika; na hiyo sheria ina simamiwa na mtu mwenye degrees. Kwa kweli ni aibu kwa nchi.
 
Tuna safari ndefu,hiyo sheria kuibadilisha itakuwa ngumu maana wanabadili sheria ni hao hao mbumbumbu,dawa ni moja tu kwenye kupitisha majina mwenyekiti akate majina ya vilaza wote achukue wrnye angalau diploma hata kama kwenye kura za maoni alishindwa
 
Mkuu Mwenyekiti gani? Wa Chama husika, Mwenyekiti wa Tume ama wa Vyama?
Tuna safari ndefu,hiyo sheria kuibadilisha itakuwa ngumu maana wanabadili sheria ni hao hao mbumbumbu,dawa ni moja tu kwenye kupitisha majina mwenyekiti akate majina ya vilaza wote achukue wrnye angalau diploma hata kama kwenye kura za maoni alishindwa
 
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .

Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne

Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa

Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri

Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri

Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious

Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo

We dont have quality people ,
Hatuna shida ya watu wenye uwezo tunashida ya kufanya vetting sahihi.
Watu wanaosaidia kujua Nani anaweza kufanya shughuli gani ndio hao huenda uwezo umekua mdogo.
Ndio maana unaona ni mzunguko wa viongozi, makada na watoto wao.
Anaweza kuteuliwa kwenye nafasi mtu mpaka ukashangaa imekuaje.
 
Chama husika
Jameni kwani ni lazima wabunge ndio wawe mawaziri?kama hiyo ndio Sheria bc ibadilishwe kwa sababu ndio maana baadhi ya wabunge wanashindwanda kutatua shida za wananchi huko kwa majimbo yao,haiwezekani kabisa mbunge awe waziri!! Wabunge waachwe huko watunge Sheria na wapitishe bajeti za serikali,wizi inazidi nchini kwa sababu hiyo ya mtu kupewa nyasifa mbili kwa wakati mmoja,how comes wazri wa fedha akachangie hoja ya fedha zilizopotea ama zilizoibiwa na wakati yeye mwenyewe ndio kahusika,Sheria ibadilishwe mawaziri wasiwe wabunge la sivyo takukuru ijaandae kwa makesi ya wizi kutwa
 
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .

Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne

Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa

Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri

Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri

Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious

Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo

We dont have quality people ,
Hawa wanaoteuliwa kila siku ndio wapo kwenye 'power cycle' ya Ccm, hayo mengine ya uwezo wa kufikiri ni porojo tu.
 
We ungemteua nani kati ya wale wabunge vilaza waliojaa mjengoni
 
Jameni kwani ni lazima wabunge ndio wawe mawaziri?kama hiyo ndio Sheria bc ibadilishwe kwa sababu ndio maana baadhi ya wabunge wanashindwanda kutatua shida za wananchi huko kwa majimbo yao,haiwezekani kabisa mbunge awe waziri!! Wabunge waachwe huko watunge Sheria na wapitishe bajeti za serikali,wizi inazidi nchini kwa sababu hiyo ya mtu kupewa nyasifa mbili kwa wakati mmoja,how comes wazri wa fedha akachangie hoja ya fedha zilizopotea ama zilizoibiwa na wakati yeye mwenyewe ndio kahusika,Sheria ibadilishwe mawaziri wasiwe wabunge la sivyo takukuru ijaandae kwa makesi ya wizi kutwa
Hiyo sheria ni ya ovyo inadishwe tu,mtaani wapo watu wanaweza kuwa mawaziri ila sio wabunge kwa bahati mbaya
 
We ungemteua nani kati ya wale wabunge vilaza waliojaa mjengoni
Wengi mnaotetea hii recycling ndo nyie wabunge vilaza,watz wengi sana wanauwezo huku mtaani tumekaa kimya tuu.Ila ipo siku mtatoka Kwa aibu.... bloody...f
 
We unathibitisha ukilaza wa watanzania,soma uzi uelewe,wewe na akili zako iko mtaani kama sio mbunge huwezi kuwa waziri,soma uzi uelewe acha ujinga
 
Na wewe ni wale wale,una kosoa alafu unajikosoa mwenyewe
 
Back
Top Bottom