mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .
Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne
Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa
Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri
Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri
Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious
Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo
We dont have quality people ,