Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Simba Nguvu MojaRed Arrows 2 - 1 Simba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba Nguvu MojaRed Arrows 2 - 1 Simba...
2 bila kula au 2 bila kuoga?Mnyama anashinda 2 bila
KumekuchaNilisema hapa ,, nina imani na Dilunga,,
Hujui umuhimu wa hilo goli ama kweli wewe ni utopolo.Wanapata kagoli ka kufutia machozi 😂
Angalau moyo wangu unarudia mapigo yake ya kawaida.
Relax Mkuu,Tunakuhitaji tar 11Angalau moyo wangu unarudia mapigo yake ya kawaida.
HaaDaaah mamaramake bana pumbu nusu kupasuka mpaka dilunga katia mkwaju
Sasa Red Arrows inabidi wapate mabao mengine matatu ili iwe 5-1, vinginevyo watakuwa wametolewaRed Arrows 2 - 1 Simba
Simba Ni SimbaNarudi banda umiza kwa kasi ya 40G
[emoji23][emoji23]Nguvu moja sasa.Daaah mamaramake bana pumbu nusu kupasuka mpaka dilunga katia mkwaju
Lete ManenoFaulu kuelekea Simba... Sio mbali sana na goli....
Hajui hata Simba inacheza mashindano gani huyo.Hujui umuhimu wa hilo goli ama kweli wewe ni utopolo.
NdiyoSasa Red Arrows inabidi wapate mabao mengine matatu ili iwe 5-1, vinginevyo watakuwa wametolewa