Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Eti Kuna watu- bado wanaimani na kiwango cha Mkude- Mkude sio mkabaji- Ndio maana Kotei- Fraga na Lwanga walimpora namba- kwa sasa anacheza kwa kuwa hakuna namna- na katika nafasi ambayo Simba bado imekosa mchezaji sahihi kwa muda mrefu- ni kiungo mkabaji na mshambuliaji.

Beki tumeilaumu kwakua mkude amepotea..
Aliigharimu simba dhidi ya kaizer kule kwao, tukapwaya hivihivi beki zinatafutana..

Kaizer ilipokwenda TZ, Mkude akawekwa bench, simba ikaimarika kati na tukawafunga Kaizer. Tangu ile mechi hadi mwal anaondoka, sidhani kama Mkude alipata tena namba hapo hadi alipokuja huyu
 
Wachezaji wa Red arrows kilichowaponza ni ile hali ya kuwadharau mpinzani baada ya kupata goli mbili. Yule beki yaani kacheza utafikiri wako wenyewe tu uwanjani mpaka akawachomesha wenzie
Na hili swala la dharau sio red arrow hata sisi simba tunayo hii kasumba

Hususani pale ambapo tunaongoza, the reason tumejitahidi ku defend ni kwasababu tulitanguliwa goli mbili, ila ingekuwa sisi ndio tumeanza kufunga goli moja basi ingekuwa tabu sana pengine tungepigwa
 
Nilisema hivi hivi juzi kwenye mechi dhidi ya geita gold ukanishambulia na kusema kwamba Simba haini hitaji kuangalia ili ipate ushindi, sasa imekuaje mkuu [emoji28] ??
Unajua wishfully thinking ndio inayotutesa sisi mashabiki

Kwenye timu kupata matokeo tumekuwa na maoni mengi kila mdau na mitazamo yake na hili huja pale ambapo timu inaonekana kuperform perfomance isiyo ridisha

Lakini kumbe mawazo yetu ni differ sana na mawazo ya kocha, sisi maoni yetu yame base kwenye personal experience wakati kocha ana vision ya kitaaluma anaelewa wakati gani afanye nini

Hii mechi ya leo kwa vision ya mwalimu haikuwa na lengo ya kupata matokeo ni dilunga tu kiherehere chake kuto tii maagizo ya kocha kitu ambacho tumeona ni tofauti kwa wachezaji wengine

Ishu ambayo nimeiona ambayo ni changamoto inayotakiwa kurekebishwa kabla hatujafka huko mbeleni ni hii over confidence ya kufikiria kwa kuwa underestimate wapinzani kulingana na matokeo ambayo umepata nyumbani
 
Sasa hapa ndo nimeelewa formula ya kocha, ila siku nyingine hatari
Sijawahi ona shabiki wa simba kigeugeu usiye na msimamo km wewe so saa hz ndio umeelewa kanuni ya mwalimu ushasahau maneno yako kpnd wazambia wanaongoza 2? Tujifunze kuweka akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom