Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
SawaHongereni kwa matokeo ....Tukutane jmamosi kwa mkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHongereni kwa matokeo ....Tukutane jmamosi kwa mkapa
Man u anashinda bila shaka ila mnipe break ili nishangilie huu ushindi kwanzaHaya tuhamie kule Kwa manutd najua ni shabikimate wa hizi timu mbili ......😃🤝
Tukafunge vitabu vya hesabu. weekend ikaliwe vizuri.
Eti Kuna watu- bado wanaimani na kiwango cha Mkude- Mkude sio mkabaji- Ndio maana Kotei- Fraga na Lwanga walimpora namba- kwa sasa anacheza kwa kuwa hakuna namna- na katika nafasi ambayo Simba bado imekosa mchezaji sahihi kwa muda mrefu- ni kiungo mkabaji na mshambuliaji.
Na hili swala la dharau sio red arrow hata sisi simba tunayo hii kasumbaWachezaji wa Red arrows kilichowaponza ni ile hali ya kuwadharau mpinzani baada ya kupata goli mbili. Yule beki yaani kacheza utafikiri wako wenyewe tu uwanjani mpaka akawachomesha wenzie
Shukran za dhati ziende kwa Varane hakika kafanya kazi kubwa.siku akicheza na Lwanga pale kati ntakua na matumaini makubwa.
Hao malaya wabovu ni wa kupuuzwa tu.Nyie mliokuwa mnajichekesha chekesha baada ya mnyama kutanguliwa goli mbili mko wapi na meno yenu ka foleni ya madumu?
Tutawamanua fresh tu Utopolo.Kwa mpira huu tar 11 bora msilete timu
Hao wote Kabwili tuUtopolo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa mpira, halafu wenyewe wanakata vitunguu tu jikoni.
Kuwa na amani mkuuBP ilikuwa juuu... Sasa imekuwa normal.....
Leo mvua imenyesha kidogo tu, inabidi kuziba pale ambapo kumeonekana kunavujisha. kusipofanyika hivyo basi ipo siku maji yatajaa ndani itakaponyesha mvua kubwa.Japo tumesonga mbele.. lakini Simba kwasasa timu ya hovyo sana
Sana tena.Japo tumesonga mbele.. lakini Simba kwasasa timu ya hovyo sana
Unajua wishfully thinking ndio inayotutesa sisi mashabikiNilisema hivi hivi juzi kwenye mechi dhidi ya geita gold ukanishambulia na kusema kwamba Simba haini hitaji kuangalia ili ipate ushindi, sasa imekuaje mkuu [emoji28] ??
600+ MillionImeingia sh ngapi baada ya kuingia hatua ya makundi?
Kwa dharau hizo hela tunapokelea mkono wakushoto600+ Million
Sijawahi ona shabiki wa simba kigeugeu usiye na msimamo km wewe so saa hz ndio umeelewa kanuni ya mwalimu ushasahau maneno yako kpnd wazambia wanaongoza 2? Tujifunze kuweka akiba ya manenoSasa hapa ndo nimeelewa formula ya kocha, ila siku nyingine hatari
Tena ambaye hana jogoo...Ila Utopolo bwana,mbona unateseka kama kuku mtetea?[emoji3][emoji3]
Kwa mpira upi.Kwa dharau hizo hela tunapokelea mkono wakushoto