Redio imaan: Tunayo barua ya peter msigwa kwenda kwa maaskofu kuwadhibiti waislam wa iringa

Status
Not open for further replies.
Kwa sababu inapunguza nguvu mfumo kristo? acheni hizo.

Mimi na wanafiki hatupikiki chungu kimoja.

Wewe unajiuliza leo? Hukuwahi kujiuliza maana ya mtu kumwagiwa chakula chake mwezi wa ramadhan kule Zanzibar eti kwa kuwa tu wengine wamefunga?

Mfumo Kristo = Mfumo Shule

Kama unataka kushindana na Wakristo SOMA. Mwenzenu MziziMkavu keshaanza kuvutiwa na namna Waatoliki wanavyofundisha watoto Sunday School japo ameleta na ujinga wake humo humo kupotosha mambo.

Nyie endeleeni uwacharaza watoto wenu bakora mkiwakaririsha maandishi ya kiarabu na kudhani namna hiyo mtashindana na Wakristo
 
Last edited by a moderator:

watu wanadhani amani inapotea au kulindwa kirahisi,siku zote amani hailindwi kirahisi pia haipote kirahisi,mtu anasema tu machafuko?hao wenye hiyo barua wanayo ya nini si wa peleke kwa vyombo vya dola.Tanzanians mbona tunakuwa hvi??/
 
watu wanadhani amani inapotea au kulindwa kirahisi,siku zote amani hailindwi kirahisi pia haipote kirahisi,mtu anasema tu machafuko?hao wenye hiyo barua wanayo ya nini si wa peleke kwa vyombo vya dola.Tanzanians mbona tunakuwa hvi??/
Vyombo vya dola umesikia imewahi kumkamata askofu kwa vitu kama hivi? acheni propagnda. wanfalikuwa waislam wamefanya hivi ungalisikia magazeti yetu. si unajua mfumo kristo ulivyokuwa na nguvu?
 
Hizo ni propaganda ambazo zinalenga kupunguza kura za waislamu kwa chadema. Ila wajue kuwa madhara ya maneno yao yatawathiri hata wagombea wa kiislamu kwani hizo kampeni zao hata wakristo pia wanaziskia. Nasubiri kuona wataongea nini ccm itakaposimamisha mgombea urais mkristo.
 
nimeamin r.iman inasikilizwa na jamii ya wa tz wote hata wewe unaye ipinga.kiukwel wanajadil mambo kwa undani wake tena kwa ushahd kwa kuwa mmezoea kusikilza vyombo vya hbr ambavyo vinakurupuka kutoa hbr bila uchunguz ndoo maana unaidis.hii radio ime2fungua macho na itaendelea kudumu kwa uwezo wa ALLAH
 
Vyombo vya dola umesikia imewahi kumkamata askofu kwa vitu kama hivi? acheni propagnda. wanfalikuwa waislam wamefanya hivi ungalisikia magazeti yetu. si unajua mfumo kristo ulivyokuwa na nguvu?
 
Mods mnapoacha thread kama hii mnataka nini!?? mnavizia watu wa kuwapiga ban au!????
 
ndio maana nasikia Peter msigwa anapendwa sana Chadema? kumbe kwa sera hizi?
 

Wapi Msigwa kataja Uislamu!?? au ulitaka aseme atahakikisha imani ya nani ienee kama si yake!??
 
Mbona mnatoka mapovu kila upande? wakishikwa bana lazima watafute pakutokea

Na hii laana ya manung'uniko haitawaacha mpaka siku mtakayoamua kwenda shule. Kuwasema Wakristo kwenye mikutano ya hadhara hakuwaongezei credits za maisha. Hebu waangalie wasemaji wenyewe: M'ba, chawa, utangotango, fungus za mdomoni, miguu iliyokatika na videvu vichafuuu vilivyokaa zig zag bila shule kichwani.

Wakishabwabwaja wanaanza kudai sadaka, sikiliza maneno yao:

"Wewe muislam unayeona ubahili kuchangia swadaka, ujue kuwa laana ya ubahili humfuata mtu mpaka kaburini, sasa kama unaendelea kuficha elfu kumi badala yake unatoa 500, basi utajazikwa na mkeka bila sanda. allah subuhana wataala awabariki mashujaa wetu waliotoa kumi kumi inshala mnyaaz mungu awazidishie heri"

Wizi mtupu na meno yenu ya njano msiopiga mswaki (pole kwa wake zenu kwa harufu za midomo), nani aliwaambia sadaka zinatolewa kwa vitisho
 
Wapi Msigwa kataja Uislamu!?? au ulitaka aseme atahakikisha imani ya nani ienee kama si yake!??

kwanini awaandikie barua mapadri? na anadhani anaweza kuwadhibiti waislam?
 
sasa speed unashangaa m2 kuadhibiwa au unashangaa mavazi ya wanao adhibu? sija kusoma!
 

waislam hawakenda shule wakiristo mumeenda. LKN MBONA UMASKINI NA RUSHWA INAKUWA KWA KASI? IPI FAIDA YA NYIE KUSOMA? AU KUUNGAMIZA UCHUMI WA TAIFA?
 
Sio CHENGINE , ni KINGINE ... Hahahaaaaa Pwaaahaahaaahaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…