Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Hapa ndipo unapoona kila mtu ana mzuriwe, bas na kila mtu ashike akiaminicho.........

Ni kweli. Ila dada, hebu niambie kwa macho yako ni mwanaume gani unaona ni handsome, taja mtu maarufu tunayemfaham wote, au weka picha tuone
 
Mzee Kigogo acha makasiriko.

Macho mengine sio lazima yarembuliwe yanarembukaga yenyewe.

Ila raha ya mwanaume ni awe na macho makali. Yaongee tu yenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji87][emoji87]

Eeh macho makali yanakuwaje tena[emoji38] kama ya nani vile
 
Huyu hapa pichani ndio mwanaume Handsome kuliko wote duniani..no filters just a natural

Cc Maghayo

 
Mkuu yani kila nikipishana na demu lazima ageuke kuniangalia
Yu bidhaa hadimu sana wallah!! Hasa kwa nchi za Scandinavia ambapo upo around napo na Eastern Europe..mademu wa huko wanapenda sana blacks wanaamin wanahit spot effectively nakuonea hadi wivu wallah😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…