Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Ndiyo huyu, mbona mi hanifikii sasa?
 
Siku "akitoka kabatini" mje na uzi hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala sio gay huyu ni straight kabisaa.
Afu usichokijua hata yule jamaa wa prison break, sio gay alijitangaza wazi kwa kutoa influence tyuuh na alilipwa mpunga mrefu.

Wazungu ndo wanavofanya wanawachukua celebrity walio na wafuasi wengi pia wenye ushawishi waji expose kuwa n gays lengo lao n kuwawini watu wa nje, na wanawalipa mkwanja mrefuuu
 
Unapoelekea utaniambia hata Delicious wa bongo nae ana-pretend
 
Sasa Delicious ndo wee kioo chako cha gays? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo wengi zaidi ya huyo, na huwezi watambua kabisaa
Huyo ndio nimemsikia kwenye mitandao, hao wengine mnawajua ninyi mnaoishi mjini
 
Handsome kwangu lazima awe black, tall na ka body flani amazing. wuuhuuuuu.

Sio mwanaume anakuwa portable jamani.

Mwanaume unakuwa portable ubebwe na nani aisee.
Ondoa Hapo kwenye 'lapzima awe black'..nakuhakikishia nafit kwenye hivyo vipimo!!πŸ˜€πŸ˜€
 
Siku sio nyingi utasikia linatanuliwa mtaro, haya mambo ya mwanaume kusifiwa uzuri yamekuja na hiki kizazi flani cha wanyoa viduku. Mxieew.
 
Hapo utasikia ni choko
Most of these handsome called guys wanakuwaga wanafukunyuliwa mitaro maana so walizoea kusifiwa wazuri Kama mademu anazoea kusifiwa ungese wake mwisho wa siku anageuka kuwa cocksucker.

Ukiona dume linafurahi kuitwa mzuri basi shida inaanzia hapo, ukichunguza zaidi hata likiwa limeoa lazima linakuwa na msukumia nyama wake ili lipate busta.
 
nenda uturuki ukaone handsome sio huyo chotara wa kiafrika
 
I have decided that you know too much!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…