Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

Hapo kwenye Mbeya weka na Songwe Songwe/Mbeya
 
hadi shule za msingi zimekuwa overpopulated, sidhani kama elimu watakayopata itakuwa ya kiwango kizuri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti over populated,mtawauma sukuma gang kwa pressure
 
Huyu jamaa YEHODAYA huko kwenye masiasa na li CCM lake, nilikua namuona kama ni mtu mwenye kitu kichwani. Nimepitia comments kadhaa kwenye hii thread, nimegundua hana kitu, yuko too low. Nadhani ndiyo maana hata kwenye politics ni mtu wa mapambio zaidi kuliko hoja za maendeleo ya nchi.
 
Hamna kitu pale.

Kanda ya ziwa msipojiangalia kwa kuzaa hovyo hovyo mtanuka umaskini hadi machoni, yaani mtakuwa na watu lundo ambao ni useless
 
Yaani wewe ndo ndezi kabisa, eti 'inashangaza IMF' hivi kati ya wewe wa ikwiriri na IMF chombo si tu cha kitaifa bali cha kimataifa nani anashangaza?! Afu unajitoa akili wakati hata hiyo taarifa wameandika kabisa according to NBS.Endelea kudanganya ndina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…