Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

Hongera Sana wachapa Kazi wa Nyanda za Juu Kusini.
Hongera kwa mada iliyokwenda shule. JF inapendeza sana ikiwa na mada za maana kama hii.

Lakini kuhusu mstari wako nilionakili hapo juu, sio kwamba wananchi sehemu nyingine hawachapi kazi. Wanachozalisha kinagawanywa kwa watu wengi zaidi na kufanya kinachopatikana kwa kila mwananchi kinaonekana kuwa kidogo.
Pengine ingependeza kuangalia pato la kila mkoa, picha ingeeleza vingine.

Takwimu kama hizi ni muhimu sana, hasa kwa serikali kuhimiza na kuweka nguvu zaidi sehemu zinazolegalega ili hali ya nchi iinuke zaidi.
 
mzee mimi ni mtu wa nyanda za juu kusini, lakini nimeishi pia kaskazini na kanda ya ziwa. chukua mfano mmoja tu KAHAMA na Geita, sijaelewa ni kwanini mapato yanakuwa machache, labda watu wa maeneo hayo hawatoi kodi/kodi au mapato yao hayakusanywi. ila tukiongelea kwenye ground, huwezi k ulinganisha umasikini wa iringa au njombe na Geita na shinyanga. wasukuma kule wanalima balaa kuliko hata mahindi yetu hayo, na kuna biashara sana kwasababu ya machimbo ya dhahabu. i understand only one thing, kwamba wanagawanya kwa idadi ya watu wa eneo hilo, jambo ambalo halitaleta jibu lenye uhalisia sasa kwenye maisha ya kawaida, ndio maana nasema mahesabu ya kwenye makaratasi ni tofauti na maisha halisi kwenye ground. sikubaliani kwamba watu wa huko wamekuwa masikini wakati wanamiliki mifugo mingi sana na nyanda za juu mnamiliki mahindi na viazi tu. wao wanalima mpunga na wana makundi makubwa ya ng'ombe. au hayo ninyi wachumi huwa hampimi?
Tanzania hii, eneo ambalo silijui sana ni Kanda ya Kusini. Lakini mikoa mingine yote niliwahi kutika na kukaa kwa vipindi fulani.

Katika suala la uzalishaji wa mazao, kueleza kuwa Kahama, Geita, Shinyanga, eti wanazalisha kuliko Njombe au Iringa, umepotoka sana. Hiyo Kahama inayozalisha sana, ni Kahama ya wapi? Ni Ushetu, Mbizi, Msalala, Segese, au wapi? Hiyo Geita ni ya wapi? Ni kule Nzera, Ngoma, Nyangw'ale, Nyarugusu, Bukoli au wapi? Hiyo Shinyanga, ni ipi wanayozalisha sana? Ni kule Bubiki, Tinde, Mwigumbi au wapi?

Zao pekee ambalo huwa wanakuwa na ziada ni mpunga. Na huo mpunga wote, unazalishwa kutegemea mvua. Mvua ikichenga tu, hamna kitu. Mwanza, kwa kiasi kikubwa, wanategemea mahindi kupata toka Singida na Musoma.

Nyanda za Juu Kusini wanazalisha zaidi ya 90% ya mazao yote yanayopatikana Tanzania, tena mkulima mdogo wa kawaida kumiliki shamba la ekari zaidi ya 50, ni jambo la kawaida sana.
 
Nyanda za juu Kusini, ukiacha miji, ipo juu sana kuliko vijiji vya kanda ya ziwa kwa ubora wa maisha na maendeleo.

Usukumani wanafuga, lakini quality ya mifugo ni duni sana ukilinganisha na mifugo inayofugwa nyanda za juu. Kanda ya ziwa wanalima, lakini ni vishamba vidogo, na hawajui ukulima wa kisasa. Lakini pia kanda ya ziwa wanazaana sana, na familia nyingi ni duni. Sorry to say this - ukimpata mwanakijiji wa kanda ya ziwa ambaye hajasoma kabisa, na wa namna hiyo hiyo wa Nyanda za juu kusini, uelewa wao katika mambo mengi, ni mbingu na nchi. Kanda ya ziwa, mpaka leo hii, wapo watu ambao hawajui hata kusalimia tu, kwa Kiswahili.

Kuna wakati nilikuwa nakagua baadhi ya maeneo, wilayani Bukombe, tulikuwa tunatumia chopa, tukatua kijiji kimoja karibu sana na hifadhi ya Kigosi, kwenye programu hiyo ya siku 2 ilihusisha kuchukua sampuli, tukawachukua vibarua wa hapo kijijini, na wengine toka Ushirombo. Jioni baada ya kazi, walikuwa wakiongea mambo ya kawaida. Kukawa na mjadala wa kidini, kijana mmoja wa kisukuma, baada ya kusikiliza kwa muda mrefu, aliuliza, "huyo Yesu ina maana ni mkubwa kuliko Mwanamalunde?". Nilisoma habari za Mwanamalunde nikiwa shule ya msingi, nilicheka na kutafakari sana. Yule kijana, karne hii, hajui habari ya ukristo, wala uislam. Kwa kumjaribu tu, nilimwuliza kama anamjua Rais wa Tanzania (wakati ule alikuwa Kikwete), alinijibu, 'Unyerere".

Kanda ya ziwa, suala la elimu, hasa maeneo ya vijijini, achilia mbali elimu ya darasani, hata ile elimu tu ya mazingira wanayoyaishi, bado sana. Yapo maeneo, mpaka leo hii, mtu anajisikia ufahari kumiliki fisi wa kishirikina.

Umaskini wa Tanzania ni reflection ya kiwango cha elimu cha watu wa eneo husika.
Well spoken [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao watu ni washamba hatari
 
Asee jana nimepita shinyanga maswa bariadi to tarime ,hawa watu wanajua kuzaliana,
ile nadharia ya kufyatuana ya mwendazake, wameifanyia kazi haswaa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tanzania hii, eneo ambalo silijui sana ni Kanda ya Kusini. Lakini mikoa mingine yote niliwahi kutika na kukaa kwa vipindi fulani.

Katika suala la uzalishaji wa mazao, kueleza kuwa Kahama, Geita, Shinyanga, eti wanazalisha kuliko Njombe au Iringa, umepotoka sana. Hiyo Kahama inayozalisha sana, ni Kahama ya wapi? Ni Ushetu, Mbizi, Msalala, Segese, au wapi? Hiyo Geita ni ya wapi? Ni kule Nzera, Ngoma, Nyangw'ale, Nyarugusu, Bukoli au wapi? Hiyo Shinyanga, ni ipi wanayozalisha sana? Ni kule Bubiki, Tinde, Mwigumbi au wapi?

Zao pekee ambalo huwa wanakuwa na ziada ni mpunga. Na huo mpunga wote, unazalishwa kutegemea mvua. Mvua ikichenga tu, hamna kitu. Mwanza, kwa kiasi kikubwa, wanategemea mahindi kupata toka Singida na Musoma.

Nyanda za Juu Kusini wanazalisha zaidi ya 90% ya mazao yote yanayopatikana Tanzania, tena mkulima mdogo wa kawaida kumiliki shamba la ekari zaidi ya 50, ni jambo la kawaida sana.
dogo, tukiongelea kahama au geita, hatutarajii upeleke akili yako kwenye kuzalisha mahindi, ulezi au viazi. peleka akili yako kwenye madini ya dhahabu ndio wanazalisha kule, unaweza kuyalinganisha hayo na magunia ya mahindi? please! kahama kuna kipindi ilikuwa inachuana na Temeke kwa mapato tz, imezungukwa na migodi mikubwa mno, kwanini umepeleka akili yako kwamba uzalishaji ni kilimo tu?
 
Tanzania hii, eneo ambalo silijui sana ni Kanda ya Kusini. Lakini mikoa mingine yote niliwahi kutika na kukaa kwa vipindi fulani.

Katika suala la uzalishaji wa mazao, kueleza kuwa Kahama, Geita, Shinyanga, eti wanazalisha kuliko Njombe au Iringa, umepotoka sana. Hiyo Kahama inayozalisha sana, ni Kahama ya wapi? Ni Ushetu, Mbizi, Msalala, Segese, au wapi? Hiyo Geita ni ya wapi? Ni kule Nzera, Ngoma, Nyangw'ale, Nyarugusu, Bukoli au wapi? Hiyo Shinyanga, ni ipi wanayozalisha sana? Ni kule Bubiki, Tinde, Mwigumbi au wapi?

Zao pekee ambalo huwa wanakuwa na ziada ni mpunga. Na huo mpunga wote, unazalishwa kutegemea mvua. Mvua ikichenga tu, hamna kitu. Mwanza, kwa kiasi kikubwa, wanategemea mahindi kupata toka Singida na Musoma.

Nyanda za Juu Kusini wanazalisha zaidi ya 90% ya mazao yote yanayopatikana Tanzania, tena mkulima mdogo wa kawaida kumiliki shamba la ekari zaidi ya 50, ni jambo la kawaida sana

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].Kuna mkoa gani unazalisha mpunga kuzidi Mbeya, Morogoro,Rukwa na Katavi nchi hii?

Huyo hajui anachoongea
 
dogo, tukiongelea kahama au geita, hatutarajii upeleke akili yako kwenye kuzalisha mahindi, ulezi au viazi. peleka akili yako kwenye madini ya dhahabu ndio wanazalisha kule, unaweza kuyalinganisha hayo na magunia ya mahindi? please! kahama kuna kipindi ilikuwa inachuana na Temeke kwa mapato tz, imezungukwa na migodi mikubwa mno, kwanini umepeleka akili yako kwamba uzalishaji ni kilimo tu?
Kipindi kipi wewe acha ujinga wako hapa.Ok tufanye kweli nambie nini kimefanya isichuane saizi na Ilala?

Hayo hayo mazao ndio yanayofanya tuwe na pesa na nyie wa huko Shinyanga iliko Kahama muongoze kwa umaskini
 
Hizi takwimu zimejaa bias dhidi ya mikoa ya kanda ya ziwa hasa Mwanza, hizi takwimu huwa ni za kifala sana asee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole Sana mkuu hiyo ndio hali yenu kubalini tuu ndio maana nchi hii mnaitwa washamba.
 
Kipindi kipi wewe acha ujinga wako hapa.Ok tufanye kweli nambie nini kimefanya isichuane saizi na Ilala?

Hayo hayo mazao ndio yanayofanya tuwe na pesa na nyie wa huko Shinyanga iliko Kahama muongoze kwa umaskini
kwa hiyo unataka kulinganisha mazao na dhahabu? unaijua dhahabu wewe au unaisikia?
 
Hongera kwa mada iliyokwenda shule. JF inapendeza sana ikiwa na mada za maana kama hii.

Lakini kuhusu mstari wako nilionakili hapo juu, sio kwamba wananchi sehemu nyingine hawachapi kazi. Wanachozalisha kinagawanywa kwa watu wengi zaidi na kufanya kinachopatikana kwa kila mwananchi kinaonekana kuwa kidogo.
Pengine ingependeza kuangalia pato la kila mkoa, picha ingeeleza vingine.

Takwimu kama hizi ni muhimu sana, hasa kwa serikali kuhimiza na kuweka nguvu zaidi sehemu zinazolegalega ili hali ya nchi iinuke zaidi.
Sasa inakuaje speed ya kutiana iwe kubwa kuliko kuchapa Kazi?

Kuna kauli inasema starehe ya maskini ni ngono na ndio hao jamaa wa huko wengi wao wanafanya ,kwa kuwa ni maskini wanachoweza ni kutiana hakuna cha kuwatetea hapa.
 
kwa hiyo unataka kulinganisha mazao na dhahabu? unaijua dhahabu wewe au unaisikia?
Huwa unakula dhahabu wewe au kila mtu ana dhahabu huko? Mbona dhahabu iko accounted kwenye mapato ya mkoa yaani GDP sasa inakuaje mkoa wenu ni wa mwisho?

Niliweka Takwimu za gdp ya mkoa still mko hovyo,hiyo dhahabu kwa nini haiwatoi kwenye umaskini? Au anafaidi GGM na Mabeberu wengine nyie mnashangaa tuu na ushamba wenu?

Hapa sio Australia ila ni Ranch ya Taifa ya Kitulo ,Makete Mkoani Njombe.[emoji116][emoji116]
View attachment 1774349
 
Sasa inakuaje speed ya kutiana iwe kubwa kuliko kuchapa Kazi?

Kuna kauli inasema starehe ya maskini ni ngono na ndio hao jamaa wa huko wengi wao wanafanya ,kwa kuwa ni maskini wanachoweza ni kutiana hakuna cha kuwatetea hapa.
Hao jamaa ni wachapa kazi kwelikweli.
Umaskini wao unatokana na ujinga/ulimbukeni, kama ule tuliouona kwa Magufuli. Hapa nitaonekana kushadidia tabia ambayo huwa siipendi, tabia ya kulaumu kila mtu katika kundi kwa tabia ya wachache wao; lakini nashindwa kueleza kwa nini wengi katika eneo hili bado wanakumbatia ujuha wa namna ile.
Haya mambo ni 'process', huchukua muda kuyabadili. Nina hakika hali inaendelea kubadilika, na hayo ndiyo maendeleo.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ndio wako wanalia lia mara sijui mama mara sijui nini ,mama sio mshamba kama wao
 
Uwe uchumi wa kati ushindwe kupandisha mishahara na madaraja ya watumishi kwa miaka 6??
Uwe uchumi wa kati ushindwe kuajiri kwa miaka 6??
Uwe uchumi wa kati ushindwe kumaliza miradi ya kimaendeleo kwa wakati??
Uwe uchumi wa kati utumie mabavu na mitutu ya bunduki kukusanya Kodi kwa wananchi??

Ni taahira pekee ndo ataamini kuwa Tanzagiza ipo uchumi wa kati.
Huna akili eti
Kwani uchumi wa kati tumeingia mwaka gani..? Na kiasi tuko nacho. Umejaa ugoro wa kibavicha.
 
Huwa unakula dhahabu wewe au kila mtu ana dhahabu huko? Mbona dhahabu iko accounted kwenye mapato ya mkoa yaani GDP sasa inakuaje mkoa wenu ni wa mwisho?

Niliweka Takwimu za gdp ya mkoa still mko hovyo,hiyo dhahabu kwa nini haiwatoi kwenye umaskini? Au anafaidi GGM na Mabeberu wengine nyie mnashangaa tuu na ushamba wenu?

Hapa sio Australia ila ni Ranch ya Taifa ya Kitulo ,Makete Mkoani Njombe.[emoji116][emoji116]
View attachment 1774349
ndio, naweza kula dhahabu. kipande kidogo tu nawewe kununua shamba lako lote pamoja na mazao yako ya miaka hata mitano. hiyo ni ya uchimbaji mdogomdogo. ukifanya mchezo nakununua na wewe na watoto wako na wife. usicheze na dhahabu. acha kujivunia kilimo cha mahindi ambacho gunia unauza alfu sitini wewe.
 
Mbona bado wewe mnaogelea kwenye umaskini kama dhahabu ni dili? Tatizo nini? Mimi nauza miti nakuja kununua dhahabu kwenu na mlivyo washamba hamjui hata soko linakopatikana.
Cc Deo Mwanyika mbunge wa Njombe Mjini alikuwa CEO wa mgodi anapiga pesa za makinikia nyie mnashangaa tuu
 
Mkuu Kuwa na madini sio hoja ndio maana unaona Tz tuna Madini but bado ni masikini,Madini hayo yanachimbwa na Makampuni Makubwa hamna Mtanzania hata moja ana miliki mgodi mkubwa kama wa North Mara.

Hii maana yake ni kuwa revenue yote inayopatikana wankwenda kutumia wamiliki wa migodi hiyo ambayo wapo Nje ya Nchi.
Unajua huko kwa mfano kanda ya ziwa, unaweza kuta mtu ana ng'ombe labda 600, lakini maisha na ukiona nyumba anamoishi na mazingira yake na familia yake sio ya kuridhisha. Na unakuta ni kama vile anaona sifa ya kuwa na mifugo mingi tu, na wakati ambapo ukiangalia hata angeweza kuuza kiasi kidogo cha hiyo mifugo, ili kuweza na kuimarisha maisha na mazingira yake na kuweza kupeleka watoto shule vizuri. Yaani pamoja na uelimishaji unaofanywa lakini sijui labda ni tradion beliefs au nini, manake ni kazi kwelikweli.. na hivyo usishangae ukiona hizo data za umaskini ni chini huko, pamoja na labda kuwa na mifugo mingi, na kilimo wengi wakiendelea na kilimo cha asili na pamoja na kuzungukwa na machimbo ya madini... kweli ni changamoto maeneo hayo aisee.
 
Back
Top Bottom