Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,.

Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD
Huwa mnaongezea na maneno tena kwa unyenyekevu au kwa molali ya hali ya juu huwa mnasema

(REHMA NA AMANI ZIMFIKIE)
Swali langu kwa waislamu
Je, ni Amani gani mnayotaka Muhammad imfikie?
Je, ni Rehma gani hizo mnazomuombea Muhammad kwa Mungu ili ZIMFIKIE?
Na je ni nani huyo aliyetoa ilo agizo?
Yaani ni Muhammad mwenyewe akitaka kuombewa Rehma kutoka kwetu, au ni Mungu mwenyewe ndio anataka tuwaombee mitume yake mwenyewe?

Je kati ya Muhhammadi na sisi yupi wa kumuombea mwenzie REHMA na AMANI kwa Mungu.?

Ukisoma biblia na quran tukufu imetanabaisha kuwa
MUHAMMAD na YESU ni binadamu watakatifu na ni binadamu wasio wahi kutenda dhambi katika maisha yao yote ya duniani.
Maana yake ni watu wa peponi moja kwa moja.

Alafu hiki kipengele cha kuweka neno (REHMA NA AMANI ZIMFIKIE)
Je ni Muhammad mwenyewe kakiweka ili apate amani au ni Mungu ndie kaweka mumuombee amani kiongozi wenu maana hayuko kwenye amani, au mumeweka kwa utashi wenu kwa kuhisi hao viongozi wenu hawako kwenye amani?

Sasa kuna haja gani ya kuwaombea REHMA NA AMANI.?
Je huko waliko kwani wanahitaji Rehma au Amani?

Nawasilisha.,

Sio kwa ubaya wala kubeza nahitaji kupata tu elimu.

Ivi ukalibu ulioko baina ya MUNGU+MUHAMMAD+YESU+MARIA+ISLAEL+SAUDIA palikuwa panahitajika dua ya mtenda dhambi kama mimi ili kuweka Amani na Rehma katika huo ukalibu wao?.
 
Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,.

Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD
Huwa mnaongezea na maneno tena kwa unyenyekevu au kwa molali ya hali ya juu huwa mnasema

(REHMA NA AMANI ZIMFIKIE)
Swali langu kwa waislamu
Je, ni Amani gani mnayotaka Muhammad imfikie?
Je, ni Rehma gani hizo mnazomuombea Muhammad kwa Mungu ili ZIMFIKIE?
Na je ni nani huyo aliyetoa ilo agizo?
Yaani ni Muhammad mwenyewe akitaka kuombewa Rehma kutoka kwetu, au ni Mungu mwenyewe ndio anataka tuwaombee mitume yake mwenyewe?

Je kati ya Muhhammadi na sisi yupi wa kumuombea mwenzie REHMA na AMANI kwa Mungu.?

Ukisoma biblia na quran tukufu imetanabaisha kuwa
MUHAMMAD na YESU ni binadamu watakatifu na ni binadamu wasio wahi kutenda dhambi katika maisha yao yote ya duniani.
Maana yake ni watu wa peponi moja kwa moja.

Sasa kuna haja gani ya kuwaombea REHMA NA AMANI.?
Je huko waliko kwani wanahitaji Rehma au Amani?

Nawasilisha.,

Sio kwa ubaya wala kubeza nahitaji kupata tu elimu.
Rekebisha hapo kwa Muhamad, Muhamad aliuwa watu wengi sana ila Yesu alifufuwa wafu.

Nimekupa muongozo ili uweze kuwatofautisha.
 
Hii ni mentality ya Kijinga na kimaskini,

kupambana na kilichowashinda wengi huo ndio ushijaa, Nguvu na Ustajiri
Kipi hicho kilichowashinda wengi cha kupambana nacho ili uonyeshe wewe ni shujaa?

Pia kinahusiana vipi na kua na positive Mentality na kupata Utajiri?
 
Sio hao tu sisi waislamu tunawaombea rehema Mitume wote wa Mwenyezi Mungu. Pamoja na kwamba wao ni Mitume lakini wanahitaji rehema ya Mungu.

Na kila binadamu aombe rehema ya Mungu kwani bila rehema Yake hutafika peponi. Wote tuna madhambi na wote tunaomba msamaha.

Soma Quran kwa elimu zaidi
 
Kwani Muhammad nae ana dhambi?
 
Kwani Muhammad nae ana dhambi?
Hakuna mtenda mema duniani akakosa kutenda dhambi.Muhammad(S.A.W) Rehma na amani ziwe juu yake,alimjia kipofu katikati ya kundi la matajiri ambao alikuwa anawapiga msasa wafuate dini ya Haqi,huyo kipofu alionekana Kama kumkera Mtume.ananena na matajiri na huyu kipofu anataka asikilizwe.
Mwenyezi Mungu akachukia,akamwambia ni Bora ya huyo kipofu Moja kuliko Hao matajiri, Mwenyezi Mungu akaenda mbali zaidi akamweleza Kuwa Hao matajiri waliyoyaficha mioyoni(wanachokiwaza) mwao yeye TU ndio anajua,
Nabii Adam A.S,,anakesi ya kujibu pale walipoambiwa wasile tunda.
Nabii Ibrahima (Abraham)anakesi ya kujibu pale alipoona jua akasema Ndo Mungu,alipoona mwezi akasema Ndo Mungu,alipovunja masanamu alipoulizwa akakataa.
Nabii Musa A.S nae anakesi ya kujibu pale alipomuua Mmisri.
Nabii Isa bin Maryam A.S huyu Ndo utema mate chini na anaskitisha pale alipowaeleza Mwenyezi Mungu ni Mmoja,wao wakasema yeye Ndo Mungu.
 
Ndio kwanza nakusikia wewe, kumbe unaeza ona Muhammad nae tukawa nae motoni sio
 
Hakuna sehemu inasema tumeombee Yesu Rehema Yesu ndiye atakayehukumu watu wote ila upande wa muhamad yeye hajui aendako pamoja na kuwa hadi Allah anamuombea rehema
 
Atamhukumu nani na wapi , lete ushahidi please
 
Back
Top Bottom