Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

Rekebisha hapo kwa Muhamad, Muhamad aliuwa watu wengi sana ila Yesu alifufuwa wafu.

Nimekupa muongozo ili uweze kuwatofautisha.
Yesu hakuuwa ? Aliye mpa nguvu Samsonite nani , aliye amrisha moses annalize majeshi ya farau nani.
 
Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,.

Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD
Huwa mnaongezea na maneno tena kwa unyenyekevu au kwa molali ya hali ya juu huwa mnasema

(REHMA NA AMANI ZIMFIKIE)
Swali langu kwa waislamu
Je, ni Amani gani mnayotaka Muhammad imfikie?
Je, ni Rehma gani hizo mnazomuombea Muhammad kwa Mungu ili ZIMFIKIE?
Na je ni nani huyo aliyetoa ilo agizo?
Yaani ni Muhammad mwenyewe akitaka kuombewa Rehma kutoka kwetu, au ni Mungu mwenyewe ndio anataka tuwaombee mitume yake mwenyewe?

Je kati ya Muhhammadi na sisi yupi wa kumuombea mwenzie REHMA na AMANI kwa Mungu.?

Ukisoma biblia na quran tukufu imetanabaisha kuwa
MUHAMMAD na YESU ni binadamu watakatifu na ni binadamu wasio wahi kutenda dhambi katika maisha yao yote ya duniani.
Maana yake ni watu wa peponi moja kwa moja.

Alafu hiki kipengele cha kuweka neno (REHMA NA AMANI ZIMFIKIE)
Je ni Muhammad mwenyewe kakiweka ili apate amani au ni Mungu ndie kaweka mumuombee amani kiongozi wenu maana hayuko kwenye amani, au mumeweka kwa utashi wenu kwa kuhisi hao viongozi wenu hawako kwenye amani?

Sasa kuna haja gani ya kuwaombea REHMA NA AMANI.?
Je huko waliko kwani wanahitaji Rehma au Amani?

Nawasilisha.,

Sio kwa ubaya wala kubeza nahitaji kupata tu elimu.
Hawakosei kwa sababu wanajua alivyolaaniwa kwa uongo na ukatili. Hivyo, kila wakitaja jina lake lazima wamuombee msamaha au kitubio kwa madhambi yasiyosameheka aliyotenda kiumbe huyu habithiii.
 
unaongea kama usiyeelewa kitu.
Yesu kama mtoto wa Mariamu hakuwahi kuua mtu yeyote bali aliwafufua wafu.
Ukimuweka katika hali ya Emmanueli hawezi kulaumiwa kwa kuua kwani ndio njia kuu ya kuwachukua watu wake kwake kwani Kifo ni njia kuu ya kumfikia alipo.
Alaf unapo ongea na huyo muungwana Dr. unatakiwa kujipanga kabla ya kuongea, la sivyo atakuacha kwa kutofautiana kwenu uwezo wa kuelewa mambo.
 
Ndiyo mafundisho ya Nabii wenu Tito yanavyosema?
 
unaongea kama usiyeelewa kitu.
Yesu kama mtoto wa Mariamu hakuwahi kuua mtu yeyote bali aliwafufua wafu.
Ukimuweka katika hali ya Emmanueli hawezi kulaumiwa kwa kuua kwani ndio njia kuu ya kuwachukua watu wake kwake kwani Kifo ni njia kuu ya kumfikia alipo.
Alaf unapo ongea na huyo muungwana Dr. unatakiwa kujipanga kabla ya kuongea, la sivyo atakuacha kwa kutofautiana kwenu uwezo wa kuelewa mambo.
Unaweza kutuwekea ushahidi wa mtu aliyefufuliwa na Yesu?
 
Yesu hakuuwa ? Aliye mpa nguvu Samsonite nani , aliye amrisha moses annalize majeshi ya farau nani.
Dr .Nilimuomba atupe ushahidi wa mtu moja tu aliyefufuliwa na Yesu Ameingia mitini
 
Kwahiyo Mungu mwenyewe ndio kaweka aombwe kitu anatoa mwenyewe tena anatoa kwa watu wake kalibu?

Yaani mfano wewe una watoto wako alafu ushindwe kuwapa ela ya ada. Alafu uje uniamrishe mimi niwaombee kwako watoto wako ela ya ada ili iweje?

Mbona hufahamiki? Tazfadhali uliza kwa ufasaha na kwa mpango ili ueleweke vizuri
 
Dr .Nilimuomba atupe ushahidi wa mtu moja tu aliyefufuliwa na Yesu Ameingia mitini
Mimi siyo jobless nina harakati za kimaisha za kufanya nikiwa free ndio nakuja humu kijiweni.

Ushahidi wa kufufuwa upo wazi kwenye Biblia, unahitaji verse? Hata wewe?
 
Nahitaji dr Kama ipo
 
Nahitaji dr Kama ipo

Marko 5:35-43​

Yesu Amfufua Binti Yairo​

35 Alipokuwa akiongea, watu wakafika kutoka nyumbani kwa Yairo wakamwambia, “Usimsumbue tena mwalimu, binti yako amefar iki. ” 36 Lakini Yesu hakuyatilia maanani maneno hayo, akamwam bia Yairo, “Usiogope, bali amini tu.”
37 Hakumruhusu mtu mwingine amfuate isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, nduguye Yakobo.

38 Walipofika nyumbani kwa yule kiongozi wa sinagogi, Yesu aliona vurugu na watu wengi wakilia na kuomboleza kwa nguvu.39 Alipoingia ndani, aliwaambia, “Kwa nini mnafanya vurugu na kuomboleza? Mtoto hakufariki bali amelala.” 40 Wale watu wakam cheka kwa dharau. Lakini yeye akawatoa wote nje, akawachukua baba na mama wa yule mtoto pamoja na wale wanafunzi aliokuwa nao, wakaenda pale alipokuwa yule mtoto. 41 Akamwinua mtoto akamwam bia, “Talitha kumi!” Maana yake, “Binti mdogo, nakwambia amka!’ ’

42 Mara yule mtoto akasimama, akaanza kutembea. Alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili. Walipoona haya, walistaajabu sana.43 Yesu akawaamuru wasimweleze mtu jambo hili, na akawaambia wampe yule mtoto chakula.
 
Hizo aya zote ni hadithi tunazopewa na mtu aliyepewa jina la Marko, na hakuna mahali mtu huyo alisema Bwana Yesu alimfufua Binti Yairo na kwa maelezo yake kwenye aya ya 39 yanasema

39 Alipoingia ndani, aliwaambia, “Kwa nini mnafanya vurugu na kuomboleza? Mtoto hakufariki bali amelala.

Yaani Yesu mwenyewe anasema kuwa mtoto hakufa amelala , hapo hakuna ufufuo
 
Mwanangu mbona kama naanza kukuelewa hivi
 
Ma proffesor na ma DDs wa kikristo naona nimekimbiwa kupewa ushahidi wa Aya ya Yesu kufufua walau inzi tu wachilia mbali mtu , kutoka ndani ya biblia yoyote Kati ya maelfu ya biblia. Zilizo tofauti
Nawasubiri mkipata wakati tupieni jicho huku
 
Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,.

Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD
Huwa mnaongezea na maneno tena kwa unyenyekevu au kwa molali ya hali ya juu huwa mnasema

(REHMA NA AMANI ZIMFIKIE)
Swali langu kwa waislamu
Je, ni Amani gani mnayotaka Muhammad imfikie?
Je, ni Rehma gani hizo mnazomuombea Muhammad kwa Mungu ili ZIMFIKIE?
Na je ni nani huyo aliyetoa ilo agizo?
Yaani ni Muhammad mwenyewe akitaka kuombewa Rehma kutoka kwetu, au ni Mungu mwenyewe ndio anataka tuwaombee mitume yake mwenyewe?

Je kati ya Muhhammadi na sisi yupi wa kumuombea mwenzie REHMA na AMANI kwa Mungu.?

Ukisoma biblia na quran tukufu imetanabaisha kuwa
MUHAMMAD na YESU ni binadamu watakatifu na ni binadamu wasio wahi kutenda dhambi katika maisha yao yote ya duniani.
Maana yake ni watu wa peponi moja kwa moja.

Alafu hiki kipengele cha kuweka neno (REHMA NA AMANI ZIMFIKIE)
Je ni Muhammad mwenyewe kakiweka ili apate amani au ni Mungu ndie kaweka mumuombee amani kiongozi wenu maana hayuko kwenye amani, au mumeweka kwa utashi wenu kwa kuhisi hao viongozi wenu hawako kwenye amani?

Sasa kuna haja gani ya kuwaombea REHMA NA AMANI.?
Je huko waliko kwani wanahitaji Rehma au Amani?

Nawasilisha.,

Sio kwa ubaya wala kubeza nahitaji kupata tu elimu.
Embu usimfananishe Yesu na mud! Mud alioa mtoto mdogo ingekuwa bongo angenyea Debe miaka 30 aliku muharamia pia
 
Back
Top Bottom