Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

Huwezi kumwombea rehema au amani yeye aliye chanzo cha rehema na amani. Mnamkosea sana Yesu mnapomweka hayo maneno. Muiteni tu Yesu kama tunavyomwita sisi waamini wake.
 
Huwezi kumwombea rehema au amani yeye aliye chanzo cha rehema na amani. Mnamkosea sana Yesu mnapomweka hayo maneno. Muiteni tu Yesu kama tunavyomwita sisi waamini wake.
Nani kakwambia yesu ni chanzo cha rehema na amani
 
Na je ni nani huyo aliyetoa ilo agizo?
Yaani ni Muhammad mwenyewe akitaka kuombewa Rehma kutoka kwetu, au ni Mungu mwenyewe ndio anataka tuwaombee mitume yake mwenyewe?
Allah mwenyewe ndiye aliyetoa agizo hilo na si Mtume Surat Al ahzab (33:56)

إِنَّ اللَّـهَ وَمَلَائِكَتَهُ يُصَلُّونَ عَلَى النَّبِيِّ ۚ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا صَلُّوا عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا تَسْلِيمًا ﴿٥٦﴾

56. Hakika Allaah na Malaika Wake Wanamswalia Nabiy. Enyi walioamini! Mswalieni na msalimieni kwa maamkizi ya amani.
 
Back
Top Bottom