Huwezi kumwombea rehema au amani yeye aliye chanzo cha rehema na amani. Mnamkosea sana Yesu mnapomweka hayo maneno. Muiteni tu Yesu kama tunavyomwita sisi waamini wake.

Na je ni nani huyo aliyetoa ilo agizo?
Yaani ni Muhammad mwenyewe akitaka kuombewa Rehma kutoka kwetu, au ni Mungu mwenyewe ndio anataka tuwaombee mitume yake mwenyewe?