Rekebisheni nembo ya Taifa

Huu upuuzi ulifanywa kipindi Cha magufuli hata bendera za taifa ziko mbili ile ya blue bahari na pure Blue

Magufuli hakuwa Mungu alikuwa na makosa yake pia


USSR
Acha uwongo wewe; kuna bendera ya Rais na bendera ya taifa. Kama ulikuwa hujui hivyo basi tunakufahamisha uelewe. Siyo kila ukiamka wewe kazi yako ni kulaumu Magufuli tu.

Unaiona hiyo bendera iliyo mbele ya Kikwete enzi zake?


Unaina hiyo bendera iliyo nyuma ya Mkapa enzi zake?



Hizo zote ziliwekwa na Magufuli?
 
Duh! Je wahusika hawapo? Je Aliyechonga anajua nembo halisi? Watu wooooooooooote hao, hakuna aliyegundua hilo, na maposho makubwa wanayopokea ya mamilioni meengi hakuna aliyegundua? Mpaka mimi jobless ndio nigundue 🀣🀣🀣
Kuna waziri alituletea sanamu ya Nyerere anayefanana na Bujibuji Simba Nyamaume au umesahau?
 
Duh kumbe kuna nembo ya nchi na nembo ya Rais.


Na ile ni rangi ya bendera ni ya dhahabu? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ.


Leo nimejua sijui. 🀣
Nembo ya nchi ina watu wameshikilia pembe za ndovu wakati nambo ya rais ina pembe bila watu waliozishika.

Bendera ya nchi ndiyo kama ile tunayoijua, wakati bendera ya rais ni ya kijani iliyozungukwa ulna rangi ya blue, huku katikati ikiwa na nembo ya rais.

Bendera ya rais
 
Hiyo isiyo ni bibi na bwana ni nembo inayokaa kwenye bendera ya rais inavyoonekana na kwenye vitu vyote vya rais mfano podium, kiti na meza, gari n.k
 
Nilitaka nikujibu hivyo kama ulivyofanya update! Huo ndio ukweli, Rais huwa na nembo yake na pia huwa na bendera yake kwa rangi anayoipenda! Naona maarifa yako ya jamii haikukupa vyote!
 
Mbona sheria ipo? Huyo mwamba amejichanganya tu, nembo ya taifa haijabadilika hata siku moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…