njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group stages
Haya sasa ifuatayo ni lists ya teams zlizocheza mechi nyingi zaidi kwenye hatua ya makundi kwenye champions league na list ya team zilizoshinda mechi nyingi kwenye hatua ya makundi championsleague kama team yakohaipo kaliulize ZERUZERU LAKO LITAKUWA NA MAJIBU