Rekodi nyingine tena ya Simba Afrika: Yanga haipo

Rekodi nyingine tena ya Simba Afrika: Yanga haipo

MAKOLO..

Mna shida sana, mi nilijua umeleta list ya timu zilizochukua ubingwa wa CAF, kumbe upuuzi huu
listi yangu ya ubingwa hii hapa

9A994E66-B9CF-4E62-BDA3-AFC8D397048E.jpeg
 
mnaulizia ya makombe kama nani wakati hatua ya makundi tu kwenu mtihani,mara ya mwisho liwekwa kundi moja na rayon na gor mahia mkachezea vichapo nje ndani, mlichobakiza ni kushangilia magoli 6 ya mayele na kuongoza ligi otherwise shut the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala up muangalie wawakilishi pekee wa Cecafa waliobaki wakifany ayao
Kama Makombe Hamchukui Huko Basi Msitupigie Makelele, Wenzenu Wanajigamba Kwa Kuchukua Ubingwa Huko Sio Nyie Malimbukeni Eti Kisa Mliishia Robo Fainali Msimu Wa Corona [emoji23]
 
Mtanena kwa lugha zote hadi ukunga mtapiga ,mlichobakisha ni kushangilia kuongoza ligi basi hakuna jingine la kujivunia
Kuongoza ligi wanashangilia saana ila takwimu za kafu wanasema zinasaidia Nini . Kwani wenyewe kuongoza ligi Kuna saidia Nini. Ni kama vichaa mashabiki wa utopolo
 
Ooooh Yanga Afrika timu kubwa Africa , hata rekodi ya kucheza mechi nyingi hampo.
 
Utopolo timu ndogo sana..wataishia kuhonga tu marefa wachukue kombe la ligi hapa kupumbaza washabiki wao.. lakin inapokuja ishu ya Africa ambako hakuna chupli chupli hawavuki hata round ya kwanza
 
Back
Top Bottom