Rekodi nyingine tena ya Simba Afrika: Yanga haipo

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group stages

Haya sasa ifuatayo ni lists ya teams zlizocheza mechi nyingi zaidi kwenye hatua ya makundi kwenye champions league na list ya team zilizoshinda mechi nyingi kwenye hatua ya makundi championsleague kama team yakohaipo kaliulize ZERUZERU LAKO LITAKUWA NA MAJIBU

 
Na Ya Makombe Iko Wapi? [emoji23]
mnaulizia ya makombe kama nani wakati hatua ya makundi tu kwenu mtihani,mara ya mwisho liwekwa kundi moja na rayon na gor mahia mkachezea vichapo nje ndani, mlichobakiza ni kushangilia magoli 6 ya mayele na kuongoza ligi otherwise shut the https://jamii.app/JFUserGuide up muangalie wawakilishi pekee wa Cecafa waliobaki wakifany ayao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…