Rekodi nyingine tena ya Simba Afrika: Yanga haipo

Kama Makombe Hamchukui Huko Basi Msitupigie Makelele, Wenzenu Wanajigamba Kwa Kuchukua Ubingwa Huko Sio Nyie Malimbukeni Eti Kisa Mliishia Robo Fainali Msimu Wa Corona [emoji23]
 
Mtanena kwa lugha zote hadi ukunga mtapiga ,mlichobakisha ni kushangilia kuongoza ligi basi hakuna jingine la kujivunia
Kuongoza ligi wanashangilia saana ila takwimu za kafu wanasema zinasaidia Nini . Kwani wenyewe kuongoza ligi Kuna saidia Nini. Ni kama vichaa mashabiki wa utopolo
 
Ooooh Yanga Afrika timu kubwa Africa , hata rekodi ya kucheza mechi nyingi hampo.
 
Utopolo timu ndogo sana..wataishia kuhonga tu marefa wachukue kombe la ligi hapa kupumbaza washabiki wao.. lakin inapokuja ishu ya Africa ambako hakuna chupli chupli hawavuki hata round ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…