Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Hii kazi unayofanya itakuwa inalipa sana kuweza kuvumilia kufanya hallucinations kama hiziNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea.
Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino mkoani Dodoma. Ieleweke ya Kuwa Balozi wa Shina ni Mwenyekiti ngazi ya Shina. Na huko kwenye Mashina ndiko kuliko na Wananchi na wanachama wetu wa CCM na ndiko mipango mbalimbali huanzia huko na hata ushindi wetu wa CCM huanzia huko.
Lakini cha kufurahisha na Kugusa ni kitendo na hatua ya Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu kuketi pamoja na wanachama wengine na kuendelea kusikiliza kikao hicho. Yaani Mama yetu Mpendwa na Nuru ya Taifa letu hakukaa mbele yaani meza kuu. Bali aliheshimu mamlaka ya Mwenyekiti ama Balozi wa Shina aliyekuwa akiendesha Kikao hicho.
Huu ni unyenyekevu wa hali ya Juu sana ambao utaupata kwa watu wachache sana viongozi hapa Duniani. Ndio Maana tunasema ya kuwa RAIS Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu. Hakuna wa kumshusha Rais wetu Mpendwa. Hakuna anayeweza kuondoa upendo wa Rais wetu uliokatika Mioyo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3585725View attachment 3585725
Wivu tu ndio unaokusumbua na ujinga uliokujaa kichwani MwakoUtopolo
Akili yako ni ndogo na huwezi kuelewa chochote kile.Hiki ndio anacho weza kukaa nje y ofisi.
Na kingine akipendacho na kukifanya vyema KUTEUA NA KUTENGUA.
KAZI NI KIPIMO CHA UTU
Nyie CHADEMA si mmezoea kuwa na vikao kama mkusanyiko wa walevi wa gongoKikao cha shina kiwe kimenawiri hvy, h movie kali sana star hafi 😂
Upumbavu ulio nao ni wa kurithi, hata watoto wako nao watakuwa hivi hivi, inasikitisha sana, watu wanarithi mali wewe umerithishwa upumbavu,cc ephen_ .Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea.
Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino mkoani Dodoma. ieleweke ya Kuwa Balozi wa Shina ni Mwenyekiti ngazi ya Shina. Na huko kwenye Mashina ndiko kuliko na Wananchi na wanachama wetu wa CCM na ndiko mipango mbalimbali huanzia huko na hata ushindi wetu wa CCM huanzia huko. Huko ndiko kuliko na kunakopimwa Uhai na uimara wa chama chetu cha Mapinduzi.
Lakini cha kufurahisha na Kugusa ni kitendo na hatua ya Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu kuketi pamoja na wanachama wengine na kuendelea kusikiliza kikao hicho. Yaani Mama yetu Mpendwa na Nuru ya Taifa letu hakukaa mbele yaani meza kuu.
Bali aliheshimu mamlaka ya Mwenyekiti ama Balozi wa Shina aliyekuwa akiendesha Kikao hicho na kukaa na wanachama wengine licha ya kuwa yeye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama
Huu ni unyenyekevu wa hali ya Juu sana ambao utaupata kwa watu wachache sana viongozi hapa Duniani. Ndio Maana tunasema ya kuwa RAIS Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu. Hakuna wa kumshusha Rais wetu Mpendwa. Hakuna anayeweza kuondoa upendo wa Rais wetu uliokatika Mioyo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3585725View attachment 3585725
KICHWANI CHAKO... HAKINA TOFAUTI NA KARAKANA YA SHETANIII 😄Ndugu zangu Watanzania,

Faki zati demon-possessed bi+ch!Ndugu zangu Watanzania,

Huyu siyo mjinga bali ni juha, na ujuha wake ni wa kurithi hata watoto atakao zaa nao watakuwa majuha tu.Inasikitisha sana watu hirithisha watoto wao mali na elimu yeye wazazi wake wamemrithisha ujuha.Unasifia Hadi mwenyewe anashtukia kuwa unamjaza !
Wewe lofa ni mjinga sanaaa
Huyu siyo mjinga bali ni juha, na ujuha wake ni wa kurithi hata watoto atakao zaa nao watakuwa majuha tu.Inasikitisha sana watu hirithisha watoto wao mali na elimu yeye wazazi wake wamemrithisha ujuha.
Ondoa ujinga wako hapa weweHuyu siyo mjinga bali ni juha, na ujuha wake ni wa kurithi hata watoto atakao zaa nao watakuwa majuha tu.Inasikitisha sana watu hirithisha watoto wao mali na elimu yeye wazazi wake wamemrithisha ujuha.