Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

Nimeipenda hyo.Hiyo ndo misingi ya kukiimarisha chama nadhani sasa niwakati wa viongozi wengine kufuata..Chama chochote imara lazima kiimarishwe kuanzia ngazi ya shina mpaka ngazi za taifa na sio kwenye mitandao ya kijamii na vijiweni kwa kuwaaminisha raia kwamba tunapendwa isipokuwa tunafanyiwa figisu..Japo sipendi mambo ya vyama lakini hapo Mh! Mwenyekiti Taifa kaupiga mwingi.
 
Ndio Maana ya CCM kuitwa Chama Kiongozi Barani Afrika
 
Huyo balozi wa nyumba kumi mbona anatetemeka mbele ya wananchi wake
 
Tunaishi zama ambazo mwenye akili anapaswa kukaa kimya ampishe mjinga afurahie ujinga wake!
 
Huna kumbukumbu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…