akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Nadhani unataka Tz iingie katika vita vya wenyewe kwa wenyewe!.Mama hana deni kwa watanzania. Inabidi wabunge wafanye kitu pale kwenye katiba Mama aongezewe muda hata miaka 7 angalau atuongoze hadi 2042. Ndo hitaji la watanzania wengi kwa sasa.
Watanzania wanataka katiba ibadilishwe ili Rais wetu aendelee kuongoza Mpaka Achoke MwenyeweNadhani unataka Tz iingie katika vita vya wenyewe kwa wenyewe!.
Mimi siyo Chawa ndugu yangu mtanzania
Mafuta yamepanda bei,miradi haiendi unataka tuanze kujadili Rais kuhudhuria kikao cha chama shinani.Haya amehudhuria what next?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea.
Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino mkoani Dodoma. ieleweke ya Kuwa Balozi wa Shina ni Mwenyekiti ngazi ya Shina. Na huko kwenye Mashina ndiko kuliko na Wananchi na wanachama wetu wa CCM na ndiko mipango mbalimbali huanzia huko na hata ushindi wetu wa CCM huanzia huko. Huko ndiko kuliko na kunakopimwa Uhai na uimara wa chama chetu cha Mapinduzi.
Lakini cha kufurahisha na Kugusa ni kitendo na hatua ya Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu kuketi pamoja na wanachama wengine na kuendelea kusikiliza kikao hicho. Yaani Mama yetu Mpendwa na Nuru ya Taifa letu hakukaa mbele yaani meza kuu.
Bali aliheshimu mamlaka ya Mwenyekiti ama Balozi wa Shina aliyekuwa akiendesha Kikao hicho na kukaa na wanachama wengine licha ya kuwa yeye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama
Huu ni unyenyekevu wa hali ya Juu sana ambao utaupata kwa watu wachache sana viongozi hapa Duniani. Ndio Maana tunasema ya kuwa RAIS Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu. Hakuna wa kumshusha Rais wetu Mpendwa. Hakuna anayeweza kuondoa upendo wa Rais wetu uliokatika Mioyo ya watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3585725View attachment 3585725
Mafuta Yamepanda Dunia Nzima na siyo Tanzania pekee na wala hayajapandishwa na Rais Samia na serikali ama CCM.Mafuta yamepanda bei,miradi haiendi unataka tuanze kujadili Rais kuhudhuria kikao cha chama shinani.Haya amehudhuria what next?
Hawakwenda kupga mayowe mahakamani...Episode namba ngapi katika ile series hii?
Umakolo ni ule boni yai alienda bagamoyo kusimamisha vijiti kuwa ni yaiUtopolo
Afadhali yeye kuliko ya kwenda kutafuta tume huru ya uchaguzi kwenye mgahawa wa shilole..njaa tupu.Hii kazi unayofanya itakuwa inalipa sana kuweza kuvumilia kufanya hallucinations kama hizi
Mnachoweza nyid ni kwenda kutafuta katiba mpya kwenye maduka ya simu na kula misumari.Hiki ndio anacho weza kukaa nje y ofisi.
Na kingine akipendacho na kukifanya vyema KUTEUA NA KUTENGUA.
KAZI NI KIPIMO CHA UTU
Mbona nyie mkienda mahakamani mnakuwa na manguo mekundu utadhani mavampaya ya colombiaKikao cha shina kiwe kimenawiri hvy, h movie kali sana star hafi
Kamtoe maudenda jela, acha mbwela mbwela hapaOptical illusion.
Wewe mwenyewe umerithi mali gani kibwetele nyieUpumbavu ulio nao ni wa kurithi, hata watoto wako nao watakuwa hivi hivi, inasikitisha sana, watu wanarithi mali wewe umerithishwa upumbavu,cc ephen_ .
Tunaishi kwenye zama ambazo mwehu anajiona mwenye akili na anajipa umhimu wa kujifanya kukaa kimya halafu anawaona wenye akili kuwa ni wehu.Tunaishi zama ambazo mwenye akili anapaswa kukaa kimya ampishe mjinga afurahie ujinga wake!
Wewe mwenyewe una mali gani au mali uliyonayo ni ile ya kulala sebleni kwa shemeji yako unasikia dadako anapumuliwa?Wazazi wako wamekurithisha upumbavu badala ya mali na elimu
Wewe huwaonei huruma wanao ambao umewarithisha uporaji wa maduka ya watu?Nawaonea huruma Sana watoto wake sijui wataishi vipi huko maisha mwao
Kahaba ni mamako aliyeenda kubakwa na kufirwa ukazaliwa toto jinga lenye mtindio wa ubongo kama wewe!Huyo kahaba unatumia nguvu nyingi sn kumpamba wakati hakuna lolote la maana !
We kwa mara ya mwisho kwenda msibani kijijini kwenu ilikuwa lini? Au umebaki mjini una kazi ya kutafuta katiba kwenye maduka ya simu?Awe anaenda mazikoni kwa majirani zake huko kijijini pia.
Vipi ccm na Rais samia ndo wamepandisha bei dunia nzima?Mafuta yamepanda bei,miradi haiendi unataka tuanze kujadili Rais kuhudhuria kikao cha chama shinani.Haya amehudhuria what next?