Ulitumia muda gani kupumzika? Ulikua mwenyewe au mlipokezana? Gari aina gani kama hautajali?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Hongera mkuu!Aisee sikupumzika wala kupumzisha gari
Nilishuka mara mbili tu Kuchimba dawa
Tena kichakani naweka chuka kushoto ikiwa inaunguruma nakijoa kisha narudi kwenye Usukani
Hakuna kushuka hotelini wala nini.
Sema nilikuwa na abiria mmoja yeye alikuwa amejipakilia Vyakula hivyo hakunisumbua Habari za kwenda hotelini.
Note. Safari yote sikula Chochote zaidi ya Maji TU
Mkuu hapana hii kamba[emoji1787][emoji1787]Dom to igunga masaa matatu na nusu
Hahahaha mkuu nilitoka saa kumi na moja asubuhi saa tatu ma dk 5 nipo igunga
Mmmmmh![emoji23][emoji1787]Saa sita usiku weekday, nasimama vipi kwenye taa! Mnashangaa 20mins Mcity to Kibada, kuna mtu katembea Bagamoyo-Mwenge chini ya nusu saa nafikiri ilikuwa dakika 22 au 27!