Mapfa A
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 250
- 259
Ulitumia muda gani kupumzika? Ulikua mwenyewe au mlipokezana? Gari aina gani kama hautajali?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Aisee sikupumzika wala kupumzisha gari
Nilishuka mara mbili tu Kuchimba dawa
Tena kichakani naweka chuka kushoto ikiwa inaunguruma nakijoa kisha narudi kwenye Usukani
Hakuna kushuka hotelini wala nini.
Sema nilikuwa na abiria mmoja yeye alikuwa amejipakilia Vyakula hivyo hakunisumbua Habari za kwenda hotelini.
Note. Safari yote sikula Chochote zaidi ya Maji TU