Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

Mzee wa mshangazi umeamua kutoa tag inapendezaπŸ€”πŸ˜

Nadhani hii comment yako ndo comment bora
Kuna mtu anasemaga kwa kuwa wewe ni role modal wangu..
Et vingi navyofanya nimekuiga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Sikujua kama una akili kiasi hiki, nisamehe sana tatizo nyege zinanisumbua sana.

Kuanzia leo nitakuheshimu ila mpaka unishenyente.
 
Take heart Mjolo mwenzangu..Mungu atafanya njia na kutenda kwa wakati. Umemaliza mwaka gani??
 
Kuna mtu anasemaga kwa kuwa wewe ni role modal wangu..
Et vingi navyofanya nimekuiga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½βœŠπŸΏ
 
Mimi nilimaliza form4, nikapata dv3 na comb ilibalanc lkn sikuchaguliwa kwenda 4m5, nikapangiw chuo ada ikawa kizungumkuti, nikapiga moyo konde nikaingia mtaani in early 17'yrs nikaanza kuexpirience msoto wa mtaa, nikawa nazurura mtaani nusu niwe chizi, ila n0w maisha yameflow on it's line namilik gheto kali vijisenti vipo, so wewe ambae angalau ulifanikiwa kuifikia elimu ya juu mshukuru Mungu, weka vyeti pembeni, tafuta biashara yeyote fanya, kazi yeyote ngumu ambayo ni halali fanya yani usichague kazi, wewe bado hujapitia msoto kama wangu.. sali sana na fanya kazi kwa bidii 0ne day utasahau shida zote.....Naandika comment hii nikiwa ndani ya gari yangu (Mercedez-benz) πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ni kweli kabisa! Niliishi maisha ya kujitenga(ama kujiona special/introvert) tofauti na wenzangu. Kumbe najiangamiza mwenyewe.
 
Ndiyo ninaweza, vizuri kabisa. Insha' Allah!...Naomba nipe maelekezo.
 
Watu wanaokazania shule bila kufikiria njia nyingine ya kujiingizia kipato ni academics tu. La sivyo lazima uje kulia njaa.
 
Halafu utakuta kuna mitoto ya wanasiasa tena ni vilaza tu mida hii imeajiriwa inakula kiyoyozi ofcn inasubiri mwisho wa mwezi ufike idake maokoto ya maana hahahhha
Hakika! Unaeza sema life's not fair!!
 
Amin! Amin! Ahsante sana.
 
Ahsante sana mkuu! InshaAllah nitafika huko.
 
M
Yaani wewe jamaa umenikera sana .
Mkopo asilimia 100% ukahindwa kujiajri.

Kweli usilaumu elimu ,jilaumu wewe hapo
Mkuu! Hali zetu za kifamilia zilitufanya tusibakishe hata senti 1 ya ule mkopo wa baada ya miezi miwili ya kila semister. Kutokana na kwamba ukipokea mkopo ndo huohuo unatuma nyumbani kwa wazazi/ndugu. Nao pia wapate ahueni, utaweza vipi kusave hapo na kufanya biashara. Binafsi ilikuwa ngumu mno kufanya hivyo.
 
Wewe ni muongo umri miaka 27 wakati umeanza seko kpnd kata seko ndo znaanza
Sio kipindi zinaanza rasmi. Lakini ilikuwa ni kipindi ambacho bado shule za kata zinapewa kipaumbele sana. Mwaka 2010 ( Std 7)
 
SI kweli kwamba nina hiyo miaka. Umri nilioutaja ni sahihi kabisa. Hata miaka hiyo nilipomaliza primary, bado wito wa kwenda shule za kata ulikuwa bado ni mkubwa.
Kuhusu GGM, kiukweli hapa nilimess up mwaka jana. Ndo maana nasema sijaelezea matukio bali matokeo yangu ya darasani. YES! GGM waliniita mwaka jana kama intern, nilikataa kwenda sababu wakati huo nilikua na kazi kwa muhindi (Civil Contractor, Class I) ambaye alikuwa ananilipa mshahara mkubwa ukilinganisha na mshahara anaolipwa intern wa GGM. Sikujua kumbe wahindi sio reliable employers, sababu baada ya mda figisu zikawa nyingi sana kazini mpaka kuachishwa kazi. Ndo nikaazna kukumbuka umuhimu wa kwenda GGM, kule kuna faida nyingi sana, na bado Insha Allah naangazia kwenda huko. Amin.
 
Ahsante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…