Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia record yako ya ufaulu kwa maoni yangu inaonesha trend mbovu ya mahusiano tangu shuleni.Habari wana jukwaa. Kwa kweli hivi sasa bila connection ni ngumu kupata kazi, vinginevyo Mungu aingilie kati. Binafsi kwa neema ya M/Mungu nimefanikiwa kuwa nahistoria ya kufanya vizuri darasani, na kuwa mwanafunzi bora kuanzia nilipokuwa shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Historia yangu kwa ufupi ipo hivi.
Primary
Ufaulu mzuri nikapangiwa kwemda sekondari, japo ni ya kata, wakati huu ndo shule za kata zimeanzishwa kwa wingi, hivyo hata wenye ufaulu mzuri walipelekwa shule hizi ili kufidia gap la wanafunzi
Sekondari
Nilifanya vizuri sana. Nimekuwa mwanafunzi namba moja darasani tangu kidato cha kwanza mpaka cha nne na nikafanikiwa kuzawadia cheti cha mwanafunzi bora na uongozi baada ya kufanya vizuri kwa miaka yote minne ya sekondari. Nikafaulu kwa ufaulu wa daraja la kwanza, nikiwa mwanafunzi pekee darasa nzima la wanafunzi 138 mwenye daraja la kwanza na nikapangiwa kwenda Advance kwa mchepuo wa PCM ( Physics, Chemistry, Advance Math)
Advance
Hapa napo sikukaa kizembe, katika darasa la wanafunzi 38, kidato cha tano na cha sita vyote nilikuwa mwanafunzi namba moja ama namba mbili kwenye mitihani ya terms na kikanda. Katika wanafunzi 38 wa PCM, wanafunzi 2 pekee tukafanikiwa kupata Div I. Hivyo moja kwa moja tukapangiwa chuo kikuu, na wote tulikwenda chuo kimoja, UDSM ( University of Dar Es Salaam)
Chuo Kikuu.
Nikasomea program ya engineering (Engieering Geology), ni program ya miaka minne. Kwa ufupi hapa shule ilikuwa ngumu sana, ukijumlisha na changamoto za kifedha, lakini historia ya nyuma ya shule ilinibeba nikapata mkopo wa serikali 100%. Chuoni tulianza wanafunzi 14, lakini tuliobahatika kumaliza mpaka mwaka wa mwisho ni wanafunzi 6, na katika hao sita, ni mimi pekee nilifanikiwa kufaulu kwa kiwango cha juu kidogo ukilinganisha na wenzangu cha Second class honors, Upper division ambacho na hakika si kiwango haba kutokana na ugumu wa program husika.
Hio ndo historia yangu ya shule kwa ufupi sana, nimeelezea matokeo tuu, sijaelezea matukio. Lakini nasikitika kuona kwamba rekodi hio haijawa na mchango chanya kuniwezesha kupata kazi. Mpaka sasa kijana natangatanga, hapa na pale. Nipo wazi kufanya kazi kwenye migodi ya uchimbaji, kampuni za ujenzi wa majengo na barabara. Na kwa sasa nina leseni ya ulipuaji (blasting licence for both Open pit & Underground mining)
Hahah! Ama hakika kupata kazi zama hizi connection... Wakuu nipeni CONNECTION!! Umri ni miaka 27.
Miaka 27 bado sana, subiri ufike 45.Habari wana jukwaa. Kwa kweli hivi sasa bila connection ni ngumu kupata kazi, vinginevyo Mungu aingilie kati. Binafsi kwa neema ya M/Mungu nimefanikiwa kuwa nahistoria ya kufanya vizuri darasani, na kuwa mwanafunzi bora kuanzia nilipokuwa shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Historia yangu kwa ufupi ipo hivi.
Primary
Ufaulu mzuri nikapangiwa kwemda sekondari, japo ni ya kata, wakati huu ndo shule za kata zimeanzishwa kwa wingi, hivyo hata wenye ufaulu mzuri walipelekwa shule hizi ili kufidia gap la wanafunzi
Sekondari
Nilifanya vizuri sana. Nimekuwa mwanafunzi namba moja darasani tangu kidato cha kwanza mpaka cha nne na nikafanikiwa kuzawadia cheti cha mwanafunzi bora na uongozi baada ya kufanya vizuri kwa miaka yote minne ya sekondari. Nikafaulu kwa ufaulu wa daraja la kwanza, nikiwa mwanafunzi pekee darasa nzima la wanafunzi 138 mwenye daraja la kwanza na nikapangiwa kwenda Advance kwa mchepuo wa PCM ( Physics, Chemistry, Advance Math)
Advance
Hapa napo sikukaa kizembe, katika darasa la wanafunzi 38, kidato cha tano na cha sita vyote nilikuwa mwanafunzi namba moja ama namba mbili kwenye mitihani ya terms na kikanda. Katika wanafunzi 38 wa PCM, wanafunzi 2 pekee tukafanikiwa kupata Div I. Hivyo moja kwa moja tukapangiwa chuo kikuu, na wote tulikwenda chuo kimoja, UDSM ( University of Dar Es Salaam)
Chuo Kikuu.
Nikasomea program ya engineering (Engieering Geology), ni program ya miaka minne. Kwa ufupi hapa shule ilikuwa ngumu sana, ukijumlisha na changamoto za kifedha, lakini historia ya nyuma ya shule ilinibeba nikapata mkopo wa serikali 100%. Chuoni tulianza wanafunzi 14, lakini tuliobahatika kumaliza mpaka mwaka wa mwisho ni wanafunzi 6, na katika hao sita, ni mimi pekee nilifanikiwa kufaulu kwa kiwango cha juu kidogo ukilinganisha na wenzangu cha Second class honors, Upper division ambacho na hakika si kiwango haba kutokana na ugumu wa program husika.
Hio ndo historia yangu ya shule kwa ufupi sana, nimeelezea matokeo tuu, sijaelezea matukio. Lakini nasikitika kuona kwamba rekodi hio haijawa na mchango chanya kuniwezesha kupata kazi. Mpaka sasa kijana natangatanga, hapa na pale. Nipo wazi kufanya kazi kwenye migodi ya uchimbaji, kampuni za ujenzi wa majengo na barabara. Na kwa sasa nina leseni ya ulipuaji (blasting licence for both Open pit & Underground mining)
Hahah! Ama hakika kupata kazi zama hizi connection... Wakuu nipeni CONNECTION!! Umri ni miaka 27.
Useful postUkiangalia record yako ya ufaulu kwa maoni yangu inaonesha trend mbovu ya mahusiano tangu shuleni.
O-level umepata div one peke yako kati ya watu 138
A-level mmepata div one wawili tu
Na chuo trend ni the same.
Connections huwa zinaanza kujengwa level za primary, mtu anaweza asiwe na uwezo mzuri sana class ila ana connections ambazo ukiwa na mahusiano mazuri anaweza kukuconnect na watu ukapata unacho hitaji.
Matokeo na ufaulu wako yanaakisi kiwango flani cha ubinafsi wa kujitenga na kutotaka kushare knowledge na wenzio nao wakafanya vizuri nadhani ni sababu kubwa unastruggle kupata japo ajira pamoja na ufaulu mzuri.
Watu wa aina yako mara nyingi ikitokea hawajabebwa na matokeo yao kwenye kazi/maisha huwa wanapitia unachopitia.
Hujachelewa, change mindset yako, ongeza kiwango chako cha interaction na watu mtaani bila kujali status zao sana ilimradi unaona wanaweza kukuvusha kwa jambo lako.
Ile mindset ya shule kutaka kufaulu prke yako mtaani haiko relevant. Mtaani we ukifanikiwa haizuii mtu mwingine kufanikiwa bali ili ufanikiwe zaidi unahitaji kuzungukwa na walio fanikiwa zaidi pia.
Ukiwa matured utagundua kuwa Maisha ya mtaani ni about improving and helping each other na si kushindana. Mtaani, matokeo ya jitihada za mtu yanategemea zaidi volume ya watu ulionao (network) wakati shule unaweza komaa kivyako na ukatoka na flying colors.
Umeeleza vyema sana mkuu,Ukiangalia record yako ya ufaulu kwa maoni yangu inaonesha trend mbovu ya mahusiano tangu shuleni.

Mpango wako umekaa vizuri lakini je huyo mtoto wako ana ndoto kama za kwako au unalazimisha afate ndoto zako.Ndiyo maana mi mtoto wangu nimempangia asome mwisho form 4 then peleka SUA akasomee KILIMO NA UFUGAJI then akiwa anaingia Degree namuanzishia duka la pembejeo akimaliza nauza viwanja viwili namfundisha kufuata madawa ya mifugo na shambani KENYA NA CHINA likiwa pumbafu shauri lake nahamia kwa mdogo ake.
KAMA UMEPENDA HUU MPANGO WANGU GONGA LIKE TWENDE WOTE
Kakaangu alimaliza chuo na course ya telecommunication engineering na akaishia kufundisha mathematics kwa miaka 5 mpk alipopata kazi inayohusu fani yakepole sana mkuu,,,,
Mimi Nina record Kama yako mkuu,,,
Usikate tamaaa utapata,,,, ila kwa kipindiiii hikiiii tafutaaa Shule au chuo cha kati,,, nenda upige mapindiii hata kwa nusu mshahara….
Mkuu kama ulivyosema kwenye haya maisha mara nyingine unaamua tu kusoma kitu flani ili mradi usije ukateseka kwenye maisha... Back in 2009 nilikua na one but niliamua tu kusoma education pale udsm ilimradi tu nisije hangaika baadae nibaki kujilaumu kwamba nilikua vizuri darasani but Leo Sina KAZI.... Sasa mtu akisikia jamaa ni teacher basi anajua huyu ni kilaza alifeli kumbe ni kuchekecha maisha...Kwanza ondoa mentality ya ukipanga kichwani mwako, vipanga mko wengi, kila shule na kila darasa kuna vipanga, mimi mwenyewe nilikuwa A-List student enzi zangu.
Ila kwenye kufanya maamuzi ya nini nikakisomee from form 4 niliangalia zaidi kitu chenye tija mbeleni. Ushauri kutoka kwa ndugu zangu walionitangulia ilikuwa nichague arts ila nikawakacha nikachagua science. Kwenda chuo nikaikacha SUA japokuwa nilisomea kilimo advance, nikachagua afya.
Hata ww bado una nafasi ya kufanya maamuzi sahihi.
Cha kwanza ondoa mentality ya kwamba ulikuwa kipanga hivyo unapaswa "Upewe Priority". Kisha tafuta cha kufanya wakati unaendelea kutafuta ajira rasmi, na kifanye kwa bidii, utafanikiwa tu.
Halafu utakuta kuna mitoto ya wanasiasa tena ni vilaza tu mida hii imeajiriwa inakula kiyoyozi ofcn inasubiri mwisho wa mwezi ufike idake maokoto ya maana hahahhhaKumbe tupo wengi:
Nina rekodi kama yako. Nilikuwa na ufaulu mzuri sana na advance nilichaguliwa moja ya shule za vipaji.
Historia ya ufaulu chuoni miaka mitatu nina C moja tu kwenye cheti changu, zilizobaki ni B kwenda juu. Hivyo vyeti vyangu vimeshiba.
Nina vyeti vya taaluma na uongozi.
Popote nilipopata nafasi ya kujitolea au kuajiriwa kwa muda nimekuwa mfanyakazi bora, vyeti ninavyo kama vyote.
Cha ajabu sasa, mwaka wa 10 sijawahi pata ajira rasmi na sasa nipo mtaani najipambania navyojua mwenyewe.
NB: Mimi ndo msomi wa kwanza kutokea kwenye ukoo wetu kwahiyo connection hakuna kabisa.
Hii ubahatike km unapata connection kwenda nchi za uarabuni ndio unaweza kupata ajira na mshahara mnonoMkuu 😯petroleum Hana ajira what s the problem?