Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Maendeleo ndiyo yanataka huo mchakamchaka. Maendeleo ni kama vita. Ikitokea watu wote wanaswagwa kwwenda kupiganq. Wengine watarudi hai wengine watakufa.....ikumbukwe pia, hio saga ng'ombe iliyofanyika, yaani Ukatili uliofanyika kwa mababu zetu kutekeleza hayo ilikuwa ni balaa.
....mababu zetu hawakulipwa fidia pale ilipobidi reli kupita kwenye vijiji vyao
....mababu zetu hawakulipwa mishahara mizuri.
...faida kubwa ya Reli hizo zilikuwa zikienda Kujenga Ulaya
....