Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Maendeleo ndiyo yanataka huo mchakamchaka. Maendeleo ni kama vita. Ikitokea watu wote wanaswagwa kwwenda kupiganq. Wengine watarudi hai wengine watakufa.....ikumbukwe pia, hio saga ng'ombe iliyofanyika, yaani Ukatili uliofanyika kwa mababu zetu kutekeleza hayo ilikuwa ni balaa.
....mababu zetu hawakulipwa fidia pale ilipobidi reli kupita kwenye vijiji vyao
....mababu zetu hawakulipwa mishahara mizuri.
...faida kubwa ya Reli hizo zilikuwa zikienda Kujenga Ulaya
....
HahahaTukisema CCM inatupeleka kaburini hamtuamini.
Na hiyo Dar Moro pamoja na kwamba miaka 7 imeisha lkn reli baado kuanza shughuli.
Hivi kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM wakikaa huwa Wana discuss nini?
CAG report ovyo.
Umeme ovyo
Barabara kibaha Chz ovyo,
Education ovyo watoto wanakaa chini darasani.
Ila kuvunja nyumba za watu!!!!!
Wakati wa hizo reli kulitokea Covid 19? Kulitokea vita vya Ukraine?Reli ya kati DSM - Kigoma;
1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.
TAZARA
1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).
Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.
CnP
Na Vita ya Ukraine vina endelea kwa hiyo , hiyo reli hautokwisha na sasa kuna Vita vya GazaWakati wa hizo reli kulitokea Covid 19? Kulitokea vita vya Ukraine?
Katika hesabu yako towa miaka 2 ya covid 19 na miaka 2 ya Ukraine Raussia War.
Tupo vizuri mpaka sasa.
Chama Cha Mabwege ndio kimeshika hatamu, wanataka sifa tu bila kufanya kaziReli ya kati DSM - Kigoma;
1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.
TAZARA
1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).
Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.
CnP
Ccm ni matapeliReli ya kati DSM - Kigoma;
1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.
TAZARA
1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).
Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.
CnP